yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kikosi Cha Simba kilichosafiri hii ndio 11st yangu kesho

    Aishi Manula Kapombe Zimbwe jr Wawa Kenedy Lwanga Mzamiru Bwalya Morrson Ajibu Bocco Mfumo 4-2-3-1 Second option Aishi Manula Kapombe Wawa Onyango Zimbwe Inonga Lwanga Kanute Morrson Bwalya Bocco 3-5-2. Morrson na Bocco washambuliaji
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye Experiment yangu niliyoifanya mwezi wa tatu 2021

    Asalaam aleykum! Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba natumia asilimia ndogo sana ya akili yangu katika maisha ya kila siku wakati nina uwezo mkubwa sana...
  4. JamiiForums Tanzania January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Sijajua rais Samia alimpendea nini. Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani. Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya kuibadilisha TANESCO

    Kuhusu Bwawa la Nyerere: Ukweli ni kwamba Umeme wa Bwawa la Nyerere utatutosheleza lakini sio mwingi kiasi cha kuuza nje. Kuna umeme sasa umefika vijijini, joto la dunia linaongezeka, treni ya umeme, matumizi ya Air condition kuongezeka, viwanda vipya. Mfano viwanda vya chuma na cement vinatumia...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

    Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari. Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inaanza kukaa mbali na huyu ndugu yangu, je nina makosa mimi kutopokea simu zake?

    Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Walichomfanyia jamaa yangu. Anatokwa na machozi kila anapokumbuka

    Jamaa yangu tupo naye kazini kitambo sana. Si haba vijicent vipo. Shida kubwa ya jamaa ni ubabe na unyanyasaji sababu ya vijicent. Huwa namwambia asiwe na lugha za kibabe, dharau na unyanyasaji kwa watu wa kipato cha chini. Haelewi. Anajenga nyumba. Ashafukuza sana mafundi bila kuwalipa na...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ internship/kibarua chochote taaluma yangu accounting and finace+driving

    Dear sir/madam Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha a) Nina umri miaka 24 b) Sijaoa c) Taaluma yangu accounting & finance uzoefu wangu custormer cara na sales kwa miaka 3 pia nina uzoefu wa driving miaka 4 d) Nina uwezo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: PC (laptop) yangu screen yake imebadili rangi kuwa pink

    Habarini za Usiku wadau wa Tech Leo nimekumbana na hii scenario nawasha Pc yangunlkn muonekano wa screen sio ule wa kawaida, ina ka rangi kama ya pink flan iv sometime ina ambatana na kama mistari iv ..ningeomba watalaam mnisaidie ku share tip juu ya hili tatizo Je ni kioo kina shida au ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa wenye mamlaka

    Ili kwajengea vijana na taiga kwa ujumla msingi wa kujitegeme na kujiajiri. Yafuatayo ni maoni yangu kwenu mnaoweza kusema iwe na ikawa. 1. Somo la Stadi za Kazi; lifanyiwe marejeo na kutengenezewa mtaala mpya na maalumu. Mafunzo yaambatane na vitendo. Kuwe na msisitizo wa somo hili kuanzia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rai yangu kwa Serikali ya Tanzania

    Uchumi na Biashara Serikali imekua haitoi kipaumbele kwa biashara za matandaonu lakini biashara za mtandaoni zinaweaza kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya nchi na ajira kwa vijana. Mfano biashara ya kubadilisha fedha mtandaoni (FOREX) biashara hii haifaamiki na haijapewa idhini na serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake

    Hii MariaSpaces ni moto wa kuotea mbali, nilikua na usingiizi ila alipoanza kuongea Mdude ambaye ni muhanga wa "utekaji" usingizi ulikata. Nitajaribu kuweka Audio kama itakubali... Kwa kifupi ni kwamba 1. Walimpigisha shoti ya umeme kwenye chuchu na sehemu ya haja kubwa Mara kadhaa 2. Kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Macho yangu yanaona kama yako? CCM mnaenda kuanguka na anguko lenu ni kubwa sana

    Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini. Walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania hata kama tungekuwa na dhahabu kila mtaa bado umaskini ungekuwepo

    Habari za asubuhi waungwana! Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala. Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko. Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kwako Mightier, toka mafichoni uje unijibu maswali yangu

    Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba kucheza na timu yeyote wewe unaleta chambuzi zako uchawara hasa ukiituhumu Yanga kufanya figisu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Malalamiko yangu juu ya CRDB bank

    Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu, Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika, Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene usiwe kigeugeu ndugu yangu

    Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake. Nataka niulize swali, hivi si ndio huyu huyu Simbachawene alikuwepo wakati wa kutunga katiba mpya awamu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…