Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,476
23,597
Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.

Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA SC TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.

1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1

Yanga tumejiandaa sana kwa hii match na ni Simba watoto tu wasiofahamu kuwa hizi matches za Simba SC na Yanga SC hazitegemei Ubora wa Team mojawapo. Zinategemea ana miundo mbinu ya ndani na nje ya uwanja.

JUMAMOSI SIMBA MKIPONA NI DRAW, KINYUME NA HAPO MNALIA.TENA MTALIA KWA UCHUNGU SANA. HAMNA TEAM YA KUIFUNGA YANGA PALE.
 
Simba mna ujinga flani hivi....mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.

Uhalisia ni kuwa Yanga Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA. YANGA JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA. TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.
1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1

Yanga tumejiandaa sana kwa hii match na ni Simba watoto tu wasiofahamu kuwa hizi matches za Simba na Yanga hazitegemei Ubora wa Team mojawapo. Zinategemea ana miundo mbinu ya ndani na nje ya uwanja.

JUMAMOSI SIMBA MKIPONA NI DRAW. KINYUME NA HAPO MNALIA.TENA MTALIA KWA UCHUNGU SANA. HAMNA TEAM YA KUIFUNGA YANGA PALE.

Tembea uchi mkuu
 
Aaaah kwenda zako chizi we yako makopo mpira tuachie sisi mabingwa, hivyo vi ahadi vyenu huwa hamtimizi nyie jamaa kuna mwenzenu alisema mechi iliyopita tukiwafunga atakunya mavi vifungu Ubungo-Chalinze sasa unajiuliza tumboni ana tank la mavi la lita ngapi?
 
Mimi nasema matokeo Ni Sina 2 Yanga 1 Ila Ft Simba 1 Yanga 2 maana Simba goli lao moja watajifunga na kuwa advantage kwa Yanga.
 
Simba atafunga magoli mawili, Kati ya hayo mojaatajifunga, Yanga atafunga goli moja tu. Full time sijui Nani atakuwa mshindi hapo
 
Simba mna ujinga flani hivi....mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.

Uhalisia ni kuwa Yanga Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA. YANGA JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA. TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.
1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1

Yanga tumejiandaa sana kwa hii match na ni Simba watoto tu wasiofahamu kuwa hizi matches za Simba na Yanga hazitegemei Ubora wa Team mojawapo. Zinategemea ana miundo mbinu ya ndani na nje ya uwanja.

JUMAMOSI SIMBA MKIPONA NI DRAW. KINYUME NA HAPO MNALIA.TENA MTALIA KWA UCHUNGU SANA. HAMNA TEAM YA KUIFUNGA YANGA PALE.
Yaan ujinga utoke kwako utopolon uende wapi? Umesahau dube alivyouchezesha huo mwiko huko nyuma? Rasa nkutoe wasiwasi tu! Hiyo jumamosi utakula 4 dry kbs! Nahuo mwiko huko nyuma utafukunyuliwa kama hauna mwenyewe
 
Mikia Fc kwa kwenda na matokeo mfukoni hamjambo, Kikosi kipana hicho chenu msimu uliopita tuliokota point 4 kati ya 6

Derby haitabiriki
Ambavyo mnyama mkare kutoka msitu msimbazi atakavyo tinga jangwani nakukamata ngamia wanne walionona, huku wananchi wakijinyeanyea kwawoga ndani ya vihema vyao! Kisha mfalme wa nyika anaanza kutokomea msitu msimbazi nangamia 4 huku wananchi wakichungulia kwambaali!! Hahaaa! Simba hii raha sana! Nafikiri sasa kila mtu anapenda simba inavyosakata kabumbu! Ila kunabaadhi wanajisaja hapa!
 
tanzania raha sana mnatoleana mimacho weeee mwisho wa siku mnaazimana moto,chumvi,sukari n.k MUNGU ibariki tanzania na timu zake zote. mechi hiyo ina pointi 3 kama nyingine kwa hiyo watu wasiingie na mazoea ya matokeo mkaja sumbua ndugu zenu kununua sanda na geneza bure.
 
Mikia Fc kwa kwenda na matokeo mfukoni hamjambo, Kikosi kipana hicho chenu msimu uliopita tuliokota point 4 kati ya 6

Derby haitabiriki
Utopolo unajisahaulisha makusudi. Ongelea matokeo kwa mechi zote za derby.Nakukumbusha head to head zilikuwa mechi 3, yanga won 1 (1-0), draw 1 (2-2) , lost 1 (4-1). Simba won 1(4-1), lost 1 (1-0).
Kwa hiyo hayo matokeo ya mechi ya FA ya msimu uliopita yanaweza kuhamia kwenye mechi ya ligi msimu huu sababu hayo matokeo yalipatikana dhidi ya vikosi vile vile kama vya ligi kwa msimu huo, na kwa matokeo haya ushaona ipi ilikuwa timu bora.
Kuwa makini!
 
Back
Top Bottom