yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu samsung A10s tsh 150000

    Simu ipo katika hali nzuri haisumbui choxhote Bei 150000 Ram2gb Storage gb32 Line 2 4g Fingerptint 5000 battery Clean camera 0627474141 Pugu dsm
  2. JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa ya kuporomoka kwa elimu ya juu, Serikali sababu yangu izingatieni

    Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha na Muziki (Story ya maisha yangu)

    Ladies and gentleman its your boy selemani sele mzee wa mastory,kinachokuja mbele yenu ni story ya maisha na mziki ni story fupi natumai watu watajifunza. MAISHA NA MZIKI Episode 1. (KUZALIWA) Miaka 30 iliyopita nilizaliwa katika jiji lenye kila aina ya uchafu madanguro, vibaka, majambazi...
  4. JamiiForums Tanzania Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  5. JamiiForums Tanzania Mbona App yangu ya SMS imekuwa kama WhatsApp?

    Habari wakuu. Mbona app ya sms imekuwa kama whatsapp. Hata inaruhusu kuunda niunde group. Imekaaje hii?
  6. JamiiForums Tanzania Nafanyiwa figisu na wafanyabiashara wenzangu kwenye biashara yangu

    Habari Wana jamiiforum. Bila kuwachosha naenda kwenye mada moja kwa moja. Nimejikamua Kama kijana nimeamua kufungua liquor store yangu mkoani Tanga ambayo inafanyakazi masaa 24 kila siku za wiki. Sasa nauza vinywaji kwa bei ambayo Mimi napata faida Mfano:- Highlife -2000 Double kick -2000 Block...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kabla ya kuoa, ndugu yangu yupo njia panda

    Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli. Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama. Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa utakuta mama anachepuka na kuzaa na ME mwingine na mtoto kumpa mume wake bila kujua au mume akajua baadae...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Huenda nikatengeneza bilioni yangu ya kwanza mwezi January.

    Juzi wakati nikitoka Kaliua kwenda Mpanda katika kuchimba madini tulikatiza mto Ugalla. Wenyeji wa maeneo hayo walinipa taarifa kuhusu malkia wa Ugalla anayekaa ndani ya mto Ugalla. Malkia akikasirika huwa anaujaza mto Ugalla maji mpaka unavunja kingo zake na kukata mawasiliano kabisa kati ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  14. JamiiForums Tanzania Kaka yangu ni mwalimu, maisha anayoishi ni mateso

    Brother ni mwalimu huko mkoani Arusha, brother alikopa pesa sijui ni tsh. Ngapi? Ila alichofanyia ni kichekesho, alinunua tv kubwa, generator, king’amu, akarepea na nyumba anayoishi pale shuleni. kwa sasa anamalimbikizo ya madeni siyo kitoto, mke wake aliniambia kwa sasa kila mwisho wa mwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  16. JamiiForums Tanzania Je, mnanitunuku lini 'Honorary Doctorate Degree' yangu kwa kuwa Visionary and Rational Thinker?

    Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni. Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani...
  17. JamiiForums Tanzania Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

    client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana money penny: sa unataka nifanyaje jaman client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje money penny: una hela? client wa instagram: ya nini money penny: ya kusimamisha maziwa? client wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

    Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja. alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili. Sasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri na mapendekezo yangu kwa Serikali, TCU na wizara ya elimu

    Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada. Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika. Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…