Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,704
- 5,480
Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini.
Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa.
Kuna mabadiliko makubwa sana, airport imefanyiwa maboresho makubwa, naona flyovers.
Nikatabasam kisha nikamuambia, kuna mwamba mmoja amelala kule Chato anaitwa John Joseph Magufuli, haya yote unayoyaona yeye ndiyo kayasimamia na kuyatekeleza, hatunaye tena.
Akaniambia kumbe hii nchi inaweza kupiga hatua haraka sana ila tatizo ni viongozi? Nikamuambia pigia jibu mstari.
Rip Magufuli watu wanastaajabu Tanzania uliyoiacha, hakika mazuri yako yataishi milele.