yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Nakutahadharisha ewe ndugu yangu unayejiita jasiri, epuka kulitaja jina lile

    Japo haijatajwa sababu ya kwann umeshushwa kwenye bajaji na ukapandishwa kwenye bodaboda, lkn mtazamo wa wengi ni kwamba uliendelea kusifia jina la bosi wako wa zamani ukalididimiza na kulidhihaki la huyu wa sasa. Ukataka kujivika ushofeli na umwamba kwa kuyaazima matendo na maneno ya lile jina...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya, Kwa machache nayoyajua: alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
  3. JamiiForums Tanzania Laptop yangu inasumbua button ya back space

    Wana ndugu naomba msaada. Nina laptop aina ya hp elite book, nilinunua ya mtumba na haikuwa na shida yoyote but hivi karibui kitufe kimoja cha backspace kimekuwa kinasumbua kwa kikataa kurespond au kinafanya kazi baada ya kubonyezwa kwa nguvu hadi imekuwa kero hasa napokuwa na kazi kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7, Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18 Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

    Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko . Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  7. JamiiForums Tanzania Pasaka yangu nataka kula na wahitaji

    kama kuna events yoyote imekua organized kwa siku ya kesho kile kidogo nilicho jaliwa nataka kusherekea na wahitaji, kindly may i be recommended with any orphanage center, or any events zinazohusisha wahitaji kindly pm me ill much appreciate it. location Dar es Salaam. Thanks in advance
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
  9. JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata mafao yangu ya NSSF

    Habari wakuu, Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi. Sasa leo katika kupekua pekua ID's zangu nimekutana na Card ile ya NSSF na nikakumbuka hawa jamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  13. JamiiForums Tanzania Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za Mama Yangu.

    1.Nilipokua Mdogo Niliibiwa Baiskeli Yangu Mama akaniambia" Huyo mtu ameiba Baiskeli yako ajaiba Bahati yako. 2. Nilipokua nasoma Kuna siku Moja niriludishwa Shule kwa ajiri ya Ada, niliporudi Nyumbani mama akaniambia kapumzike/Kalale nilipoamka akaniambia Chukua madaftari yako usome.(Na kile...
  15. JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Siku 2024

    Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa. Sasa changamoto anataka kila...
  17. JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1. Math, Physics And Chinese 2. Physics, Chemistry and Russian or...
  18. JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu ya combination mpya

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1.math, physics and Chinese 2.physics, chemistry and Russian or arabic...
  19. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia, 1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu. 2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…