Laptop yangu inasumbua button ya back space

lui03152

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
253
340
Wana ndugu naomba msaada. Nina laptop aina ya hp elite book, nilinunua ya mtumba na haikuwa na shida yoyote but hivi karibui kitufe kimoja cha backspace kimekuwa kinasumbua kwa kikataa kurespond au kinafanya kazi baada ya kubonyezwa kwa nguvu hadi imekuwa kero hasa napokuwa na kazi kubwa.

Naomba wataalamu wa mambo ya komputa mnishauri. Nilipeleka kwa mafundi kama wawili hawakuifungua lakin walishauri ninunue keybord mpya ifungwe.

Naomba kujua kama kuja njia nyingine ya kurekebisha hii ukiacha hii ya kununua keyboard mpya.
 
Nunua keyboard mkuu, mafundi wako sahihi, yawezekana shida ilianzia kwa first user, afu keyboard ni cheap kulingana na gharama utazotumia kuzunguka kwa mafundi.
 
Fanya Key Remapping kwa kutumia KeyTweak.

Kama kuna button huitumii kwenye Keyboard yako download KeyTweak halafu hamisha hiyo backspace kwenye button nyingine. Button kama Shift, Ctrl & Alt zipo mbili-mbili chagua moja hamishia hapo.

Hii ndiyo njia rahisi badala ya kupeleka kwa fundi au kununua Keyboard mpya.
Asante mkuu mbali na huu ushauri ulompa basi inabidi anunue keyboard tu.
 
Pc nyingi za hp hua zina shida ya button with usage.
Hata yangu ishakufa like 5 different buttons lakn as long as inapiga kazi no sweat
 
Back
Top Bottom