Kauli za Mama Yangu.

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
174
343
1.Nilipokua Mdogo Niliibiwa Baiskeli Yangu Mama akaniambia" Huyo mtu ameiba Baiskeli yako ajaiba Bahati yako.
2. Nilipokua nasoma Kuna siku Moja niriludishwa Shule kwa ajiri ya Ada, niliporudi Nyumbani mama akaniambia kapumzike/Kalale nilipoamka akaniambia Chukua madaftari yako usome.(Na kile nilichosoma nilikutana nacho kwenye mtihani)
3.Niliangaika kutafuta kazi,msongo wa mawazo nakaa tu Ndani,
Alinifuata chumbani niliko kua akaniita akaniambia njoo nje,nakumbuka ilikua saa 11Jioni,
Akaniambia usijifungie Ndani na kila mwanadamu Hapa Duniani ana shida yake inayomsibu.
4.Nilikua na uhusiano wa kimapenzi na Bint mmoja nilimpenda Sana yule binti, kumbe mama Yangu Alikua Anajua kua ninampenda yule binti, aliponiacha nilichanganyikiwa sana..Biashara nilikua siwezi kuisimamia Vizuri niliopoteza muelekeo.
Mama alinifuata kwangu akaniambia" Maumivu ya Hisia za mapenzi unayoyapitia wewe ndo unaumia Ila yule binti wala hapati maumivu, na kingine mwanangu Hakuna maumivu ya kudumu utamsahau na utampenda mwingine.
5. Mama yangu alinifunza Ubahili/ Kuilinda Pesa Yangu.
Aliniambia Wanawake wanapenda Sana kuomba Hela
Mwanamke akikuomba Hela mwambie sina, usitake sifa Mbele ya Mwanamke akuone mtoaji utakua unaumia wewe Yeye anafaidika.
6. Kuna kauli mama huwa anaiongea kwa kilugha" Ukauva unalipambilile" maana yake " Ukipata shida usijinyonge/ Usijizuru".
7. Mama huwa anasema " Kufanikiwa sio Lazima Leo tu, Hata kesho unaweza Kufanikiwa, ukikosa Leo kesho ipo Fanya jitiada mwanangu bahati yako ipo.
 
Bi Mkubwa wako ni mtu wa maana sana, ana kitu. Atafika mbali.
 
Huyo ni mama FICTIONAL au kwa kiswahili ni mama wa njozi.

Yaani akikaa tu anajuwa shida yako. Ila asante kwa riwaya ya Jumamosi
 
Back
Top Bottom