yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Morning_star

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

    Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa. Sasa jana baada ya kuendelea...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Taazia: Ninavyomkumbuka Dada Yangu Haki Hanya (Haki Kilomoni)

    TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI) Haki mimi ni dada yangu. Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu. Siku...
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Leo nimepoteza baba yangu wa mtandaoni Gonzale Lira

    Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo machache sikua nakubaliana nae lakini amenifunza mengi sana. R.I.P Gonzale Lira a.k.a Coach Red...
  5. MENERIKI II

    JamiiForums Tanzania Ahadi yangu kwa Taifa Stars

    Habari wana JF wenzangu Mimi MENERIKI II naweka ahadi kwa timu yangu ya Taifa Stars, ikipata point 3 katika Kundi lake kila Mchezaji nitamnunulia SODA. Naomba ikiwezekana wafikishiwe hii taarifa ili wajitume walau waambulie hata SODA ya MENERIKI II.
  6. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu samsung A10s tsh 150000

    Simu ipo katika hali nzuri haisumbui choxhote Bei 150000 Ram2gb Storage gb32 Line 2 4g Fingerptint 5000 battery Clean camera 0627474141 Pugu dsm
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa ya kuporomoka kwa elimu ya juu, Serikali sababu yangu izingatieni

    Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
  8. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Maisha na Muziki (Story ya maisha yangu)

    Ladies and gentleman its your boy selemani sele mzee wa mastory,kinachokuja mbele yenu ni story ya maisha na mziki ni story fupi natumai watu watajifunza. MAISHA NA MZIKI Episode 1. (KUZALIWA) Miaka 30 iliyopita nilizaliwa katika jiji lenye kila aina ya uchafu madanguro, vibaka, majambazi...
  9. Selemani Sele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mbona App yangu ya SMS imekuwa kama WhatsApp?

    Habari wakuu. Mbona app ya sms imekuwa kama whatsapp. Hata inaruhusu kuunda niunde group. Imekaaje hii?
  11. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Nafanyiwa figisu na wafanyabiashara wenzangu kwenye biashara yangu

    Habari Wana jamiiforum. Bila kuwachosha naenda kwenye mada moja kwa moja. Nimejikamua Kama kijana nimeamua kufungua liquor store yangu mkoani Tanga ambayo inafanyakazi masaa 24 kila siku za wiki. Sasa nauza vinywaji kwa bei ambayo Mimi napata faida Mfano:- Highlife -2000 Double kick -2000 Block...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kabla ya kuoa, ndugu yangu yupo njia panda

    Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli. Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama. Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa utakuta mama anachepuka na kuzaa na ME mwingine na mtoto kumpa mume wake bila kujua au mume akajua baadae...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  14. pelius laurent

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  15. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Huenda nikatengeneza bilioni yangu ya kwanza mwezi January.

    Juzi wakati nikitoka Kaliua kwenda Mpanda katika kuchimba madini tulikatiza mto Ugalla. Wenyeji wa maeneo hayo walinipa taarifa kuhusu malkia wa Ugalla anayekaa ndani ya mto Ugalla. Malkia akikasirika huwa anaujaza mto Ugalla maji mpaka unavunja kingo zake na kukata mawasiliano kabisa kati ya...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu ni mwalimu, maisha anayoishi ni mateso

    Brother ni mwalimu huko mkoani Arusha, brother alikopa pesa sijui ni tsh. Ngapi? Ila alichofanyia ni kichekesho, alinunua tv kubwa, generator, king’amu, akarepea na nyumba anayoishi pale shuleni. kwa sasa anamalimbikizo ya madeni siyo kitoto, mke wake aliniambia kwa sasa kila mwisho wa mwezi...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
Back
Top Bottom