yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. desmond3076

    Msaada TV yangu aina ya singsung, nchi 25 inawaka kidogo inajizima

    Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini? Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini? Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa...
  2. GENTAMYCINE

    Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

    Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
  3. Trubarg

    Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    RATIBA YA ASUBUHI Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku. Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo. Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha. Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea...
  4. Pridah

    Zawadi yangu ya Valentine kwa mwenyekiti wa kataa ndoaw

    Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini anachoamini ilimradi havunji sheria wala kubughudhi wengine. Kataa ndoa sio kitu kipya na ukweli hawa...
  5. D

    Nakulilia Congo nchi yangu

    Congo is the promised land. Congo is the land filled with honey. Congo is the land filled with Natural resources. Congo is the Richest land on the planet. Congo is the land filled with Mineral resources. You can pick up any mineral from the soil in Congo. Congo has the capacity to supply the...
  6. T

    Rafiki yangu kaniaminisha mwanamke aliye kwenye mahusiano huwezi kuchati mpaka saa nane usiku

    wakuu ni Adje. Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake. Jamaa wangu mmoja akajibu hivi. Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume...
  7. Tanki

    Msaada kwenye tuta: Nawezaje kucheza game ya kwenye simu yangu kupitia smart tv yangu

    Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
  8. Mjanja M1

    Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Azim Dewji, ameweka wazi kuwa biashara yake ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kuuza mafuta ya Taa. Akifanya mahojiano na CloudsTv Dewji amesema, "Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanunua mafuta ya taa kwenye madebe...
  9. D

    Jirani yangu kaniharibia makazi yangu

    Habari ya majukumu wakuu Bila kuwachosha sana niende moja kwa moja kwenye mada, nilinunua kiwanja kwa ajili ya makazi pemebezoni mwa mji kipindi hicho bado palikuwa hapajachanganya sana kama sasa lakini kadri siku zilivyokuwa zinazidi kwenda paliendelea kubadilika na palichanganya sana kutokana...
  10. Mohamed Said

    Namkumbuka Baba na Rafiki Yangu Ahmed Rashaad Ali

    Mwaka wa 1952 Ahmed Rashaad Ali alimwandikia Gamal Abdel Nasser Rais wa Misri barua yenye kurasa sita kuhusu mateso yanayowakabili wananchi wa Zanzibar chini ya usultani. Rashaad alimuomba Nasser ampe kazi ya utangazaji katika Sauti ya Cairo ili aueleze umma wa dunia madhila ya ukoloni wa...
  11. G

    Natoa kero yangu kwenye hospitali za wachina / wakorea, hawathamini kabisa privacy / usiri wa wagonjwa + maadili, hutuchukulia kama vifaa na sio watu

    Ni katika moja ya hospitali niliwahi kwenda kwenye matibabu yangu, hospitali inadeal na mambo ya mishipa / nerves. Siku nimeenda niliambiwa niende kwa wiki nzima kuna mashine naitumia kwa dakika kadhaa kisha naondoka, Yani mle chumbani kilichokuwa kikibidi kututenganisha na mtu mwengine ni...
  12. T14 Armata

    Majeshi yangu bora ya Afrika 2024

    Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi kufanya na hutumiwa pale mtu asipotaka mambo mengi ila sio sahihi. Hakuna ranking inayoweza kutoa...
  13. Expensive life

    Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  14. Mtewele isaya

    Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  15. L

    Dkt. Mwigulu Nchemba yupo kimya kwa sasa anameza matonge makubwa makubwa!

    Mjanja sana huyu jamaa! Baada ya kuingia msituni na kudodosa kidogo nikagundua nyeti mabasi yake ya Esther kwa mwezi yanaingiza faida TU inayokadiriwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 80 - FAIDA tu baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Mwaka 2024 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa...
  16. Jamii Opportunities

    Consulting – USAID Afya Yangu Southern – Grants & Finance Intern at Deloitte January, 2024

    Position: Consulting – USAID Afya Yangu Southern – Grants & Finance Intern About the program Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement the USAID Afya Yangu Southern Program. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

    Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa. 2. Kuwa na mwanamke mpambanaji...
  18. Pascal Mayalla

    Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

    Wanabodi, Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025, Ili zawadi hii iwe na maana na manufaa kwake, imebidi itolewe mapema, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late!, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze...
  19. KIBOD3

    Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  20. L

    PreGE2025 Ninaipenda CCM yangu, ilimradi ulete kura tu, tunakukubali

    Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa, uwe mtumishi wa umma, uwe mtumishi wa Mungu, uwe mwizi, uwe jambazi, uwe mpagani, mchambaji, uwe...
Back
Top Bottom