Kwa hiki nilichokisikia Leo Wasafi FM huenda yale maneno ya ' Kashfa ' ya Kocha Luc Eymael kwa Uongozi wa Yanga alikuwa sawa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,536
Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo Dewji ' Injinia ' Hersi kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa tayari Klabu ya Yanga imeshamalizana na Kiungo wake Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi wenyewe mliosoma mnasema ' DONE DEAL ' sijui.

Cha Kushangaza, Kushtua na Kusikitisha kabisa leo hii hii katika Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM bila Uwoga wala Aibu tena kwa ' Kujimwambafai ' kabisa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Wakili Msomi Simon Patrick amesema kuwa Mchezaji wa Kiungo wa Yanga Raia wa Kongo Papy Kabamba Tshishimbi hajasaini Mkataba wowote ule na Yanga na wamempa Siku 14 za Kusaini na mpaka leo zimeisha Siku 7 hivyo kabakiza Siku 7 na kama hataki aache kwani Yanga sasa ' haimbembelezi ' Mchezaji yoyote yule.

' Logically ' tu kwa ' Kujichanganya ' huku kwa Nyani Sokwe Mbwa Sports Club ( Yanga SC ) kama ambavyo Kocha wao ' Mbeleshi ' Luc Eymael ' amewaita ' hivyo tutakuwa na uhakika gani kwamba hata Kiungo wao ' Mtukutu ' Bernard Morrison amesaini nao kweli Mkataba wa Miaka Miwili kama ambavyo Viongozi hawa wa Yanga wanasema japo Mchezaji Mwenyewe anakataa kata kata?

Na kuna za ' chini chini ' nimezipata za Kuhusiana na Suala hili zima za Bernard Morrison nitazisema hapo baadae ila kuna Watu wataenda Lupango.
 
Hata mimi niliona kwenye vyombo vya habari kuwa Tshishimbi kashasaini Yanga. Lakini wakulaumiwa ni Tshishimbi mwenyewe kwa kukubali kutumika kwani wakati ule inatangazwa hivyo ingewezekana akapata dili zuri kwenye timu nyingine lakini wema wake wa kukubali kutumika umemponza maana sasa wanamwambia asaini kwa pesa ndogo sana.

Yanga inahitaji mabadiliko ya haraka sana ili viongozi na mfadhili kila mmoja awe na mipaka yake na timu iongozwe kwa uwazi zaidi. Bila ya timu kuongozwa kwa uwazi na majadiliano ya hizo pande mbili na maridhiano basi hata kupiga hatua itakuwa ngumu sana hata kama watamsajili Messi na Ranaldo kwa pamoja.
 
Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo Dewji ' Injinia ' Hersi kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa tayari Klabu ya Yanga imeshamalizana na Kiungo wake Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi wenyewe mliosoma mnasema ' DONE DEAL ' sijui.

Cha Kushangaza, Kushtua na Kusikitisha kabisa leo hii hii katika Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM bila Uwoga wala Aibu tena kwa ' Kujimwambafai ' kabisa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Wakili Msomi Simon Patrick amesema kuwa Mchezaji wa Kiungo wa Yanga Raia wa Kongo Papy Kabamba Tshishimbi hajasaini Mkataba wowote ule na Yanga na wamempa Siku 14 za Kusaini na mpaka leo zimeisha Siku 7 hivyo kabakiza Siku 7 na kama hataki aache kwani Yanga sasa ' haimbembelezi ' Mchezaji yoyote yule.

' Logically ' tu kwa ' Kujichanganya ' huku kwa Nyani Sokwe Mbwa Sports Club ( Yanga SC ) kama ambavyo Kocha wao ' Mbeleshi ' Luc Eymael ' amewaita ' hivyo tutakuwa na uhakika gani kwamba hata Kiungo wao ' Mtukutu ' Bernard Morrison amesaini nao kweli Mkataba wa Miaka Miwili kama ambavyo Viongozi hawa wa Yanga wanasema japo Mchezaji Mwenyewe anakataa kata kata?

Na kuna za ' chini chini ' nimezipata za Kuhusiana na Suala hili zima za Bernard Morrison nitazisema hapo baadae ila kuna Watu wataenda Lupango.
Yanga aka mbwa fc
Nyani FC
Ile sio team ni genge la wahuni
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom