Kwanini Mashabiki wa Yanga ndiyo Wanaoogoza kulalamikia Simba kudhulumiwa na Mo Dewji?

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,457
27,104
Nimegundua kuwa kila ninapokutia Malalamiko dhidi ya Mo Dewji basi Mlalamikaji ni Mashabiki wa Yanga na sio Simba! Je Yanga amekuwa na huruma kwa kumtetea Simba dhidi ya kile wanachodai ni Utapeli wa MO? Au wanachotaka MO aondoke ili sisi Simba tufanane na Wao kwenye kuomba?

Mashabiki Utopolo Mara kwa Mara wamekuwa wakihoji Hisa 49% za MO Dewji kuwa hajaziwekea 2B.
Lakini kwanini hawahoji Hisa 51% za Wanachama kuwa zimewekewa Billion ngapi?

Maoni Yangu:
As long as Wachezaji na Wafanyakazi wote wa Simba wanalipwa mishahara, Usajili Mzuri unafanywa, Wachezaji wanakula Vizuri, Makombe tunabeba! Basi Mimi Nina Imani na MO, hayo mengine Mimi hayanihusu, Sitaki kirudi kule kuchezesha Wachezaji wa Simba B.

Waliokataa kutapeliwa na Manji huku Wakiishi maisha Mazuri Chini ya Manji, Waache waishi Maisha ya Kuombaomba chini ya Utapeli wa GSM.

Tunapodai 20B za 49%
Pia tusisahau kudai B za 51%.

NAWASILISHA
 
Wewe mwenyewe unailalamikia yanga hapa na uzi wako wa lawama harafu unakaa kusema yanga chama la wananchi acha wanyama muandamane leo ni siku yenu ss kama wananchi tunawahakikishia ulinzi na usalama maana nyie ni nyara za serekali.... Tutawalinda kwa nguvu zote
 
Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe
 
Hakuna Mshabiki wa Simba anayemlalamikia MO

Wewe hujawahi kuchangia hata kwa kununua Jezi Original ya Simba then unajitia Ujuaji kwa MO anayetoa Mamilioni ya Usajili na Mishahara.
 
Tukiwaambia Mueleze Simba inapata hasara vipi kupitia MO munaishia kulialia tu anafanya matangazo matangazo matangazo na blah blah nyingi.
 
Hakuna Mshabiki wa Simba anayemlalamikia MO

Wewe hujawahi kuchangia hata kwa kununua Jezi Original ya Simba then unajitia Ujuaji kwa MO anayetoa Mamilioni ya Usajili na Mishahara.

Unaleta hoja za kitoto kwenye mada serious..
Kwani wewe umechangia she ngapi kwenye dhahabu inayochimbwa Tanzania na Barrick?

Kwahiyo huruhusiwi kuhoji lolote kisa hujachangia hela za kuchimba dhahabu?

Kwahiyo wazungu waje wachimbe dhahabu vyovyote vile kisa wanagharamia kuchimba?

Hivi unaelewa hata unachoongea?
 
Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe
Wewe jamaa nimekudharau sana,

Heshima niliyokuwa nakupa kwa michango yako hapa jukwaani leo umeongea utopolo mtupu! Wewe ulitaka jamaa aweke ruzuku tu na yeye asipate chochote?

Halafu umeleta fact yoyote kuonyesha hizo sales za bidhaa za MO zimeongezeka kwa kiasi gani tangu atangaziwe bidhaa zake na Simba kulinganisha na kabla ya kuingia makubaliano na Simba?

Na umelinganisha faida Simba imepata kabla na baada ya makubaliano haya! Ondoa utopolo kichwani mwako
 
Tukiwaambia Mueleze Simba inapata hasara vipi kupitia MO munaishia kulialia tu anafanya matangazo matangazo matangazo na blah blah nyingi.

Wewe unaelewa lolote kuhusu matangazo?
Unajua why sportspesa wanalipa mabilioni jezi za Simba na yanga Kwa matangazo?
Unajua why azam TV wanalipa Simba na Yanga mamilioni kuliko timu zingine?

Unajua Mo brand inafadikia vipi na Simba brand?

Unajua advertising industry ina pesa kiasi gani?
 
The Boss kwenye fact zako kuhusu uwekezaji wa Mo pale Simba sijawai kukuelewa kabisa mkuu.
Yani utaki Mo apate faida ama?

Je kwenye 59% ya umiliki wa wanachama wa Simba wametoa pesa kiasi gani kusaidia timu?
 
Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe
kama wewe ni Simba basi hutufai tafuta timu nyingine timu zipo kibao ndani na nje,nenda kanunue hisa 51% zipo acha kutuharibia starehe yetu mkuu.

tunajua tunachokiunga mkono.nimesoma company and share management najua nje ndani kuhusu share capital, hivi unpaid share capital ni kitu kigeni kwenye kampuni? acheni chokochoko na hamtafanikiwa mtaishia kuvuna aibu tu
 
kama wewe ni Simba basi hutufai tafuta timu nyingine timu zipo kibao ndani na nje,nenda kanunue hisa 51% zipo acha kutuharibia starehe yetu mkuu. tunajua tunachokiunga mkono.nimesoma company and share management najua nje ndani kuhusu share capital, hivi unpaid share capital ni kitu kigeni kwenye kampuni? acheni chokochoko na hamtafanikiwa mtaishia kuvuna aibu tu

Tukubaliane kutokubaliana..
Naheshimu mawazo yako na wewe heshimu mawazo yangu..

Mtu akikwambia kazi unayofanya wenzio wanalipwa million 5 Kwa mwezi ..wakati wewe unalipwa milioni moja Kwa mwezi..
Hutakiwi kumjibu ..hunitakii mema.nikiacha hiyo ingine nna uhakika gani WA kuipata?
Wakati nahangaika kutafuta ajira ulikuwa wapi?

Hayo sio majibu..Bora utafakari kimya kimyaa bila kumshambulia alieleta hoja.

Tukubaliane kutofautiana..

Binafsi naona Mo muongo na mzushi..
Maoni yangu binafsi
Usiniambie nikalipie mishahara wachezaji ndo niwe free kuongea
 
mimi najiuliza hivi mashabiki kwenye hizi timu wanataka nini? makombe au pesa?

sijawahi kuelewa faida tutakayopata mashabiki endapo hizi timu zikiwa tajiri sana,...... labda kama tunataka furaha!

hata simba/yanga zikiuzwa kwangu poa tu, wacha wenye akili wapige pesa maana sina maslahi direct na hizi timu..........
 
Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe
Mkuu tumwondoe Mo basi.. alafu tukifanikiwa hapo tuambie mchezaji yupi unaweza mlipa mshahara tukukabidhi..
 
Wewe unaelewa lolote kuhusu matangazo?
Unajua why sportspesa wanalipa mabilioni jezi za Simba na yanga Kwa matangazo?
Unajua why azam TV wanalipa Simba na Yanga mamilioni kuliko timu zingine?

Unajua Mo brand inafadikia vipi na Simba brand?

Unajua advertising industry ina pesa kiasi gani?

Siku utakayokuja na Ufafanuzi kuwa Aslimia 51% za Wanachama Wametoa Billions ngapi kuingiza kwenye Akaunti ya Simba hapo ndiyo nitakuelewa.

Narudia tena, kamla ya kuangalia 20 za 49%, pia tungalie na zile Billions za 51%.
 
Sasa ulitaka wasiwahurumie wenzao wakati wanadhurumiwa😂😂😂😂😂😂😂
 
Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe

hapa chini ni moja ya post zako,rudia tena wewe ni Simba ipi? King Ngwaba
Umesahau Manji akijifanya anafadhili na kutusaidia Yanga akaja kuwaandikia deni hela yake yote nusu anunue club bure kabisa?
 
Back
Top Bottom