Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki kilele cha #WikiYaMwananchi

photo_2020-08-28_11-20-02.jpg
 
Hapo wametoa tu kichwa cha JPM wakaweka picha ya uyo kocha wa rede, wakabadili maneno wakapost.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom