Wakisajili ni sawa, ikisajili Yanga eti inatakatisha fedha kupitia mpira

Kuna dalili ya vilio hapa, utapeli waziwazi
hajismanara-20200818-0001.jpg
 
Sasa mbona kocha hamjampata bado nyie UTO? Hao wachezaji anapendekeza nan sasa?
 
Hahaaa mpira kama siasa sasa, simba wameumia kusikia usajili huu wa yanga
 
Kwa nini hauhoji kwanini amevaa jezi ya Yanga ?

Umejuaje huo ni jezi ya As Vita !? Mimi hapo nimeona jezi yenye namba 22 jina Mukoko (labda lengo ni kutangaza aliyesajiliwa anaitwa fulani na anavaa jezi namba fulani)
Kweli ndio maana mkaitwa nyani, jamaa hakukosea kabisa
 
Back
Top Bottom