Kwa 'Mapungufu' haya ya 'Kimsingi' kati ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela na Mhamasishaji Nugaz bado tu tukisema Yanga kuna 'Shida' mtabisha?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC kama kawaida leo 'wajazane' na 'wajimwage' Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ili Kumpokea Mchezaji wao Yacouba Raia wa nchini Burkinafaso mida ya Saa Saba ( 7 ) za Mchana.

Akizungumza leo kupitia Kipindi cha Sports Courts cha Wasafi FM Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga SC Antonio Nugaz amesema kuwa taarifa ya ujio wa Mchezaji wa Kimataifa wa nchini Burkinafaso Yacouba waliyopewa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC haikuwa sahihi hivyo amewaomba Radhi na kuwataka warejee tu Makwao na wasipoteze muda Wao kwenda Uwanja wa Ndege wa JNIA na wazipotezee hizo taarifa.

GENTAMYCINE kila mara tu nikiwa nawasema Yanga SC hapa mnadhani huwa 'Nazusha' tu au 'Nawaonea' je, kwa 'Upuuzi' huu bado ninawaonea?
 
Nilikuwa ninamuheshimu sana na mno tu Senzo Mbatha Mazingisa ila kwa 'Upuuzi' alioufanya si tu kwamba nimemdharau bali nimeshamchukia pia.
Mimi binafsi nilimshangaa sana Senzo kuingia mzima mzima kwenye harakati za Yanga.

Huenda ni kweli uongozi wa Simba kuna maeneo walimkosea, lakini atakachokutana nacho Yanga ni kibaya mara kadhaa kuliko alichokiona Simba.

Kwa maana Yanga bado hawajapata mfumo mzuri wa kuongoza klabu yao kama walionao Simba.

Muda utatupa majibu.
 
Tusiwe tunawapangia watu namna ya kuishi, alipo ni mtu mzima anajua kipi sahihi na kipi siyo sahihi, ni sawa na Gadiel alivyohamia Simba na kila siku yupo bench.
Mi binafsi nilimshangaa sana Senzo kuingia mzima mzima kwenye harakati za Yanga.
Huenda ni kweli uongozi wa Simba kuna maeneo walimkosea, lakini atakachokutana nacho Yanga ni kibaya mara kadhaa kuliko alichokiona Simba.

Kwa maana Yanga bado hawajapata mfumo mzuri wa kuongoza klabu yao kama walionao Simba.
Muda utatupa majibu.
 
GENTAMYCINE hata me nilimsikia kwa masikio yangu mawili dah nilishangaa Sana kauli mbili kwenye redio mbili tofauti, Uongozi wa Yanga Ni jipu number 1 pale sikui wanafanye kazi kwa namna inavyoonesha kila kiongozi pale kambale anajiamua anavyotaka.Nasikia kesho engineer ece atakuwa ana exclusive interview kesho na Wasafi FM kwenye kipindi Cha sports Arena tuone na yeye kauli zake zipo vipi?
 
Wanajiita Mabingwa Wa Kombe Ambalo Sijawahi Kusikia Linachezwa Wapi, Lini, Sangapi, Dhidi Ya Timu Zipi? {kihistoria} Au Wanacheza Saa 8 Za Usiku Kule Kaunda Graves De Gsm Stadium? Washiriki
Ni Vyura Fc
Manyan Fc
Mbwambwa Fc
Konokono Fc
Kobe Fc
Kaa Fc
Minyoo Fc
Chambo Fc
Mumi Fc
Ndoana Fc
Kenge Fc
Wote Hawa Kutoka Kaunda Bwawani, Sasa Hapo Lazima Waendelee Kutetea Taji Lao La Kihistoria.
 
GENTAMYCINE hata me nilimsikia kwa masikio yangu mawili dah nilishangaa Sana kauli mbili kwenye redio mbili tofauti, Uongozi wa Yanga Ni jipu number 1 pale sikui wanafanye kazi kwa namna inavyoonesha kila kiongozi pale kambale anajiamua anavyotaka.Nasikia kesho engineer ece atakuwa ana exclusive interview kesho na Wasafi FM kwenye kipindi Cha sports Arena tuone na yeye kauli zake zipo vipi?

Kwa Kukusaidia hakuna Mtu 'Samjo Samjo / Tapeli Tapeli' kwa sasa ndani ya Klabu nzima ya Yanga kama huyo Injinia wao na 'atawagharimu' mno.
 
Nilishangaa mwenyekiti wao professor wa propaganda anawaita waandishi wa habari na kuilalamikia tff kutoshugurikia kesi yao ya simba kumpa pesa Morison wakati katibu wao alishaondoa hiyo kesi na kusema yalikuwa malalamiko yule kocha aliyeondoka kawaachia laana
 
GENTAMYCINE hata me nilimsikia kwa masikio yangu mawili dah nilishangaa Sana kauli mbili kwenye redio mbili tofauti, Uongozi wa Yanga Ni jipu number 1 pale sikui wanafanye kazi kwa namna inavyoonesha kila kiongozi pale kambale anajiamua anavyotaka.Nasikia kesho engineer ece atakuwa ana exclusive interview kesho na Wasafi FM kwenye kipindi Cha sports Arena tuone na yeye kauli zake zipo vipi?
Huyo ni pumba sijui kaanza kushabikia mpira ukubwa yaani anasajili mchezaji halafu anamuuliza aeleze ubora wake na wapi atajiboresha kwa mujibu wa gazeti lao pendwa la mwanaspoti
 
Ndugu,yacoub alikuwa anajitayarisha kuja ila gharama yake e dollar laki moja,tuyisenge ni free agent baada ya kuchemsha Angola, wakamuambia yacoub asubiri kwanza wanmsikilizia tuyisenge Wa beii ndogo na salary ndogo.uto wanasemaga wao kuvunja mkataba siyo big deal
 
Hivi wapi ntapata video ya Jay Z akitumbiza Diamond Jubilee Hall Dar es Salaam?
hahaha ngoja niitafute nilikuwepo ndugu yangu mstari wa mbele niko na jokate na kaka yake GG tunakula gambe na mizaha ya hapa na pale,dah nilifurahi sana siku ile lakini you could see in jay za face kwamba hakupenda ule ukumbi yaani hadi leo hatuna arena bora show ama zile ziende uhuru sema nako kule temeke dah...show ya kinyamwezi ilikuwa ile pale ghymkhana, fat joe,eve e, p square the view ilikuwa safi sana lakini yaliyotokea siku ile wenye mamlaka wakakataa show zisifanyike tena kule
 
Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC kama kawaida leo 'wajazane' na 'wajimwage' Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ili Kumpokea Mchezaji wao Yacouba Raia wa nchini Burkinafaso mida ya Saa Saba ( 7 ) za Mchana.

Akizungumza leo kupitia Kipindi cha Sports Courts cha Wasafi FM Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga SC Antonio Nugaz amesema kuwa taarifa ya ujio wa Mchezaji wa Kimataifa wa nchini Burkinafaso Yacouba waliyopewa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC haikuwa sahihi hivyo amewaomba Radhi na kuwataka warejee tu Makwao na wasipoteze muda Wao kwenda Uwanja wa Ndege wa JNIA na wazipotezee hizo taarifa.

GENTAMYCINE kila mara tu nikiwa nawasema Yanga SC hapa mnadhani huwa 'Nazusha' tu au 'Nawaonea' je, kwa 'Upuuzi' huu bado ninawaonea?
Kwenye kiswahili hakuna neno mapungufu,ni upungufu,neno hilo halina uwingi,likiwa moja ni upungufu na yakiwa mengi ni upungufu
 
ni aibu sana kwa mwakalebela hata majuzi ile kauli ya msolaa kuhusu bakuli efm walimuuliza nugaz akasema aulizwe msolla ukweli ni kwamba nugaz na gsm hawawaheshimu kina msolla na wanachama nao wako upande wa gsm soon utaona timbwili pale tena wakimuudhi engineer na maboss zake kina Gharib team itafungishwa na kina msolla watakula bakora za kisawasawa
 
Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC kama kawaida leo 'wajazane' na 'wajimwage' Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ili Kumpokea Mchezaji wao Yacouba Raia wa nchini Burkinafaso mida ya Saa Saba ( 7 ) za Mchana.

Akizungumza leo kupitia Kipindi cha Sports Courts cha Wasafi FM Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga SC Antonio Nugaz amesema kuwa taarifa ya ujio wa Mchezaji wa Kimataifa wa nchini Burkinafaso Yacouba waliyopewa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC haikuwa sahihi hivyo amewaomba Radhi na kuwataka warejee tu Makwao na wasipoteze muda Wao kwenda Uwanja wa Ndege wa JNIA na wazipotezee hizo taarifa.

GENTAMYCINE kila mara tu nikiwa nawasema Yanga SC hapa mnadhani huwa 'Nazusha' tu au 'Nawaonea' je, kwa 'Upuuzi' huu bado ninawaonea?
Mikia fc buana.
 
Back
Top Bottom