Yanga Yafanya 'Maangamizi' Ya Kimbari,yamlamba KMKM 2-0.

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,270
8,271
Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM.
Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua NGOME IMARA mithili ya UKUTA WA BERLIN ya KMKM...!Bravo YANGA...! moto uendelee
 
hii Yanga bado sijaelewa mfumo wa huyu kocha, alafu kadiri timu inavyocheza naona baadhi ya wachezaji kuporomoka viwango, mfano Kibwana, Kisila na Sarpong.
 
[SUB]Mzee Sunday Manara aliyewahi kuwa mchezaji nguli wa Yanga mpaka akapachikwa jina 'COMPUTER ' alishatoa ushauri kuwa mkitaka kumfunga mdomo Haji Manara ni kumfunga Simba yaani alimaanisha kuunda kikosi bora zaidi ya Simba.....badala kulia lia na Haji na kuanza kupiga watu ovyo ovyo...[/SUB]
 
Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM.
Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua NGOME IMARA mithili ya UKUTA WA BERLIN ya KMKM...!Bravo YANGA...! moto uendelee
We Mikia a.k.a Manguruwe achana na Yanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom