Simba vs Yanga tarehe 18/10 itawezekana kweli?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
540
1,000
Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje?

TFF waliliangalia hili, angalau wao utopolo wachezaji wao hawahitajiki huko kwao hata shikalo hahitajiki tena Harambee stars.

Hata yule tuliyeambiwa alikataa kwenda Ureno na Celta vigo ya spain akaamua kuja kwa vyura vyurani hajaitwa Angola, duh.
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
7,643
2,000
Hawa waliopanga ratiba nahisi ni ndugu moja na topolo viongozi wa simba wasiwe wapole namna hiyo inabidi tuwabamize tena watafute sababu labda timu yao haina biology
 

mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,259
2,000
Tucheze nao tuu
Tutawafunga 3-0 kwa wachezaji watakaobaki
1.Kakolanya
2.Duchu
3.Gadiel
4.Kennedy/Ame/Nyoni
5.Wawa
6.Fraga
7.Morison
8.Ndemla
9.Mugalu
10.Ilanfya
11.Sheva/Dilunga/Ajibu (Atakaekuwa hajaitwa stars)

Halafu uniambie hao wajinga bila ya
Nionzima,fei na mwamnyeto watatoka kizembe hapo Mkapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom