TFF na Wizara ya Michezo mdhibitini Hajji Manara ndiye kichocheo cha chuki uhasama wa Simba na Yanga

libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
4,369
3,391
Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli zake yeye anaita za kukera ndizo chokochoko ambazo washabiki wa Simba nao wanazibeba kisha wanazungumza mbele ya mashabiki wa Yanga huku wakijua wanae zungumza nae ana hasira kiasi gani na wapembeni nae ana hasira kiasi gani ipo siku moto utawaka chukueni tahadhari hiyo ingawa yeye kwa kufanya hivyo anaingiza pesa ila anajenga chuki na si utani ule wa Simba na Yanga wa enzi na enzi werevu tumeliona hilo.
 
Utawani wa jadi wa enzi hizo ulikuwa si wakusaka followers kwenye instra ili upige dili la matangazo huku ukiliingiza Taifa kwenye mgogoro wa Uhasama, wizara chukueni hilo mlifanyie kazi ipo siku yatatokea maafa kutokana na chuki huyu jamaa anayoipandikizi kwa kupiga dili, mpira Ni burudani na sio kupandikiza chuki.
 
Utawani wa jadi wa enzi hizo ulikuwa si wakusaka followers kwenye instra ili upige dili la matangazo huku ukiliingiza Taifa kwenye mgogoro wa Uhasama, wizara chukueni hilo mlifanyie kazi ipo siku yatatokea maafa kutokana na chuki huyu jamaa anayoipandikizi kwa kupiga dili, mpira Ni burudani na sio kupandikiza chuki.
Hivi nyinyi mnapo waita simba misikule unadhani huwa wanafurahi eti?
 
Yaaani yanga ni majinga majinga tu hadi yanakera, hivi nyie mmesahau mara hii matusi ya Muro enzi za Manji, au ndio mmeanza ushabiki jana. Hamna cha ajabu Manara anafanya zaidi ya utani tu wakawaida. ila kwa sababu mna stress za kuwa na litimu libovu basi ni kelele tu mjini. kwendeni zenuuuu
 
Utopolo tatizo lenu linatibiwa na daktari wa magonjwa ya akili.

Ukiwa na tatizo la magonjwa ya akili huwezi kujua,sana sana utatafuta mtu wa kusingizia.

Tatizo lenu ni la kutopata kile mlichodhani mtapata.Mlikuwa mkitaja Tusila Kisinda,Tonombe,Sarpong..Calinho..mlichanganyikiwa na mlidanganywa timu zitakuwa zinakula goli tano tano tu.
Sasa mmeona kiwango cha mreno wenu sio kile mlidanganywa.Magoli mengi mmefunga mechi moja ni mawili nayo mlihonga.Sasa hasira zote mnasingizia eti mnarogwa na mashabiki wa Simba. Hii ni typical dalili ya ugonjwa wa akili.

Tengenezeni timu nzuri mshinde uwanjani.Bado pia mna wenge la kupigwa vinne.Nami nawaambia safari hii mtapigwa hadi mkaushwe kizazi
 
Back
Top Bottom