Penati ya wazi waliyonyimwa Kagera Sugar dhidi ya Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,062
103,260


Screenshot_20200920-063513_Chrome.jpg
 
Hapo itakuwa karidhika. Ushabiki mwingine maandazi,mtu anatamani awe refer yeye,mchezaji yeye,kibendera yeye
Lakini nyinyi si ndo mabigwa wa kulalamika?
Hasa haya matukio yakitokea kwenye mechi za waume zenu simba?
 
Yakija kutokea kwa simba tusisikie habari za kubebwa na kuhogwa marefa.
Kuna mashabiki mtazeeka kabla hamjafikisha hata miaka 30. Mnateseka na mengi. Yanga ikicheza na timu yoyote mnateseka,simba timu yako ikicheza uteseke pia. Vipo vingine vya kuvipunguza ili usidumaze mwili na akili pia
 
Kuna mashabiki mtazeeka kabla hamjafikisha hata miaka 30. Mnateseka na mengi. Yanga ikicheza na timu yoyote mnateseka,simba timu yako ikicheza uteseke pia. Vipo vingine vya kuvipunguza ili usidumaze mwili na akili pia
Lakini nyinyi si ndo mabingwa wa kulalamika hasa matukio kama haya yakitokea upande wa pili?ila yakitokea kwenu ni sawa?
Yaan utoporo hamnazo kabisa.
 
Lakini nyinyi si ndo mabingwa wa kulalamika hasa matukio kama haya yakitokea upande wa pili?ila yakitokea kwenu ni sawa?
Yaan utoporo hamnazo kabisa.
Relax man. Utakosa usingizi bure
 
Haya matukio ya kubebwa yanga ni mengi sana,sema hatukuwa tunayapigia kelele sana kwa kujua waamuzi ni binadamu kuna wakati wanaweza kushindwa kuwa perfect,ila kwa vile ninyi utopolo ndio watu wa kwanza kuwalaumu waamuzi,tunataka kuwaonesha kila tukio mnalobebwa ili mjue,ule usemi wa "nyani haoni kundule" mnavyoudhihirisha.

Mechi zote mlizocheza hadi za kirafiki,mmebebebwa ili mpate utulivu wa nafsi kwamba hamkulala bure airport.

Tutaendelea kuwamulika kila mechi
 
Siwezi kukosa usingizi kwa sababu ya ushindi wa utoporo maana najua hiyo ni nguvu ya soda mtakata upepo muda sio mrefu .
Mtarudi kwenye malamiko yenu maana ndio desturi yenu nyie manyani fc.
Vipi mtafika mbali kwa kuishia mdomoni mwa UD songo?
 
Yaani Simba tangu waanze kuongozwa na Barbara wamekuwa na gubu balaa!!

Nenda kasome Laws of the Game 2018/2019 ambazo zilianza kutumika June 2018! Kwa kukusaidia, kuhusu ball handling FIFA wanasema kwamba:-
FIFA.png

Sasa nyie vijana wa Da' Barbara kwa hilo tukio mnaona kuna deliberate ball handling hapo?

Hapa chini nawawekea Laws of the Game ili mkasome! Kwa muktadha wa leo, someni page 102 kipengele cha Handling the Ball, Law 12.

Ila we Okwi Boban unafanya makusudi tu kwa sababu suala la Hand to Ball vs Ball to Hand haiwezi kuwa mada ngeni kwa mtu anayefuatilia soka, sema ndo vile tena!
 

Attachments

  • Laws of the Game.pdf
    16.4 MB · Views: 7

Similar Discussions

Back
Top Bottom