Kinachofanywa na yanga ni zile stori za utotoni ntaenda kukusemea kwa mama muacheni Morrison acheze mpira Simba

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,458
11,893
Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja...

Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini.

Yanga bwanaa
Au kisa Ni ile pasi ya morisson kumpa chama na chama kumpasia mfungaji kwa kisigino.

Natamani kuona vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vikijikita katika kuibua vipaji adhimu KUTOKA kwenye ardhi ya NYUMBANI.

Mungu IBARIK TANZANIA
 
Mikia egesha kalio mdungwe sindano..Morrison hana mkataba na mikia ili uwe mkataba lazima pande mbili na mashahidi wasign ..Jana nimemsikia Magori anadai Yanga wamepata wapi huo mkataba..mikataba yote ya wachezaji inaonekana kwenye TMS...hata Mwamedi hana mkataba na mikia mnapigwa
 
Maneno ka haya hawezi kuongea binadamu wa kawaida, labda mbwa tu maana mbwa anabweka tu bila kujali anambwekea nani
 
[SUP]Nimeona magazeti yao yakiongozwa na mwanaspoti yanavyokomalia na wanasheria wao feki lakini wakishindwa kuhoji maswala ya msingi[/SUP]
 
Hawa wanadhan Bado wapo kipindi Cha kikwete....hawajui serikali nzima Simba baba lao... utopolo ban...
 
Back
Top Bottom