wote

  1. JamiiForums Tanzania Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

    Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari. Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
  2. JamiiForums Tanzania Ninawapenzi wanne wote wanahitaji niwaoe

    Habari za leo ndugu zangu, Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi. Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti. Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wote ni CCM wa kuzaliwa?

    Siku mbili kuanzia Jana Tarehe 20 July 2020, CCM wamekuwa na Kura za Maoni ndani ya Chama chao, kitu pekee katika mchakato huu ni namna ulivovuta hisia za Watanzania bila kujali vyama vyao, Wote tumetega masikio na kufungua macho kuuona wana CCM wataamua nini Binafasi nawafahamu washindi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Neno/Ujumbe kwa wanaume wote

    Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Laiti wanasiasa wote wangekuwa na ustaarabu na ukomavu kama Mbowe

    Hakika Mbowe ni Jabali la Siasa Tanzania. Mbowe ni mwanasiasa makini sana hasa anapojenga hoja zake iwe bungeni au hata nje ya Bunge. Amekuwa mtulivu pasi na visasi au kujibizana hata anapokashifiwa au kutukanwa na wanasiasa wasioweza kujenga hoja na kukimbilia personal attacks. Mifano ni...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania wenzangu tunaamini kuwa vita yetu dhidi ya Corona ni kama tumeishinda kutokana na kudra za Allah, basi tusiwabeze wenzetu

    Assalam aleikum, Hivii Watanzania haswa watumiaji wa JamiiForums mnalenga nini haswa? Ni kweli mnasherekea mnapoona Wakenya wanataabika? Uhasimu wa aina hii ulitokea wapi? Wenzetu wanakufa sisi tunasherekea? Vita ya uchumi isituletee laana Kwa taifa zima. Tafadhali tubadilike, ushindani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa wote wana vibali vya kwenda kugombea nafasi za Ubunge kwenye Majimbo hayo

    Watu wanashindwa kuelewa tu. Ni kuwa wanaonda kugombea ubunge si kwamba walienda kuchukua form wakijua kuwa Rais hatojua. Taarifa walizitoa kwa Rais naye aliruhusu pasipo na shaka. Kutengua ni jambo analolifanya in public watu tu wapate picha flani lakini wote watia nia wanafahamu kuwa wana...
  8. JamiiForums Tanzania Poleni Wapinzani Tanzania, tambueni na myatafakari yafuatayo

    Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020: 1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaoacha vyeo na kwenda kugombea ubunge, watapita wote wakiwa na kazi maalumu

    Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua. Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
  10. JamiiForums Tanzania Walaaniwe watu wote wanaowaambia vijana wajiajiri bila kuwapa mitaji

    Wakuu kuna jambo linaniumiza sana. Jambo lenyewe linaitwa UNAFIKI. Unafiki kwa nchi za Kiafrika umekuwa mkubwa sana. Hivi mtu anautoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri huku hajampa mtaji? Alaaniwe!!! Hakuna kijana mvivu, hakuna kijana mwenye akili timamu anapenda kuwa tegemezi. Ila...
  11. JamiiForums Tanzania Roho nzuri ilivyomtajirisha mtu aliyempenda kuhudumia Mteja mwenye roho mbaya aliyesuswa na wahudumu wote

    Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
  12. JamiiForums Tanzania MEMBE: Mimi ni kachero ndiyo na kachero muda wote yupo kazini

    Ni maneno ya Membe alipo mjibu swali ndugu Generali Ulimwengu. Hoja hapa ni kwa usalama upi wa hakika kama kachero huyo kama alivyo jinasibu mwenyewe kwamba yu kazini bado hadi kiama kwa yeye kuwa upinzani au ni zuga na yupo kazini hata huko? Je, ni kweli mtumishi huyo mtiifu wa idara yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Siri kwa mabaharia wote wanaojitambua, mwanaume mwenye 35+ ana nafasi kubwa sana ya kukubalika

    Mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35+ akawa smart, akawa na afya njema, akawa sio mtu wa makundi, huku uchumi wake ukiwa wa wastani n.k ana nafasi kubwa sana ya kukubalika kwa mwanamke yeyote yule; na kwa asilimia kubwa wanaume (mabaharia) hawa wenye hizi sifa wanasumbuliwa sana. Unaweza...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Wale wote ambao Waliishia tu kwenye Interview za kutaka kuingia JKT tusimuliane ilikuwaje

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016 Mkoani Ofisi ya Mkuu wa Wilaya nimeingia pale ndani nikiwa nimeshavaa kiheshima mpaka basi, Nimekutana pale Wanajeshi tofauti wenye Vyeo wamezunguka Meza huku ya Veti vyangu Original vinazunguka Mikononi Mwao, Yani nilitegemea ntaulizwa Mambo kama Mkuu wa majeshi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

    Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika. Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa. Watu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu

    9 Julai 2020 Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu Source : Jenerali Online Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

    Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania na Wananchi wao wote Matapeli tu. Huu ushahidi

    Miezi kadhaa Ago Ndugu Gwajima alikuwa Shujaa sana wa Chadema kwa kuongea kwake pumba na maneno ya hovyo hovyo.sisi wenye akili hatukuwa tunakubaliana naye. Hata ile Video ya Mkono wa Baunsa CCM waliisimamia kuwa ni yeye na Chadema wakasema si yeye ni Mkono wa Baunsa. Leo imekuwa kinyume. CCM...
  20. JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…