wote

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025

    Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC, ZEC na CCM hili tamko linasubiriwa na Watanzania wote. Mnatoa saa ngapi?

    Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi. Hawa ni wahujumu, wahujumu na wafitini ambao wanataka kuonesha kuwa Mh. Rais hatakiwi na hawezi shinda hivi hivi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawatakia Watanzania wote Uchaguzi wenye Baraka na Amani ya Mungu ile ipitayo fahamu zote

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu. Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB ndio benki bora ukanda wote huu wa Afrika Mashariki na Kati

    Ni muendelezo wa kukumbushiana tu kwamba nani kinara kwenye kila tasnia ukanda huu. ====== The performance is an improvement from position 717 last year in the ranking which tracks the health and wealth of the global banking sector. In 2018, KCB was ranked 809. In what reaffirms the Bank’s...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa na wanachama wengi haimaanishi wote watakupigia kura

    Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M. Niwaulize nyie vilaza, mmejuaje hao 22M ni wanachama wenu? Hamuoni kuna uwezekano kati ya wanachama wenu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya J.K.T...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je vioja vya Tume za uchaguzi ndio vinatuwakilisha waTanzania wote Jinsi tulivyo ?

    Huwaga naona aibu sana sana,yanapojitokeza mambo yanayoonyesha ni ukosefu wa elimu au WaTanzania hatufai kupewa dhamana ,na hii hali inayojitokeza ambayo matatizo yanatokana na Tume za uchaguzi ,kusema kweli yanatuchafua waTanzania wote kwa kiasi fulani. Tume wangejiandaa kwa wizi sio...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    Salaam Wakuu, Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar. Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze. Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread. Stay tuned. =====...
  11. JamiiForums Tanzania "Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kupendelea jamii fulani kimaendeleo" LISSU

    "Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?

    Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi. Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi. Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua nafasi za kazi please (1. Medical Assist 2. Registered Nurse & Midwifery ( wote ni diploma)

    deleted
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  15. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria, acha kulaumu wanaume muda wote. Anza sasa kufuatilia matatizo ya wanawake kwenye ndoa zao

    Habari, Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo? Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi? Wanaume wasioweza kusema...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni CCM. Wapiga kura wote walikuwepo ukumbini kuangalia kura zinavyohesabiwa. Kwanini Nec iwe na mashaka kwa watu kuwepo nje ya vituo

    Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata wabunge na madiwani. Utaratibu huo umesaidia kuondoa malalamiko yoyote ya kuibiwa kura wakati wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete: CCM ni chama cha dini zote, makabila yote, taaluma zote na wanasanaa wote kichagueni

    Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama cha wataalamu wote CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara CCM ni chama cha...
  19. JamiiForums Tanzania Kama huu 'Utafiti' wa 'Kisayansi' ni kweli basi nashauri Wanaume wote tuanze Kudai 'Pesa' zetu tulizokuwa 'tukiwahonga' Wanawake

    Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania HAYA PLAY BOYS WOTE TUKUTANE HAPA TUKUMBUSHANE SIFA ZETU

    Habari wana jukwaa. Leo nimeamua kushusha uzi kwa wale play boy wote tujuane kwa sifa zetu mi naanza na zangu kama ifuatavyo 1.naeza fanya chochote ili nimpate dem 2.nikishamtumia tu hata cm yake sipokei au ntakucheki badae zinakua nyingi 3.hua napg kila sample mzuri mbaya wote wangu 4.kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…