wote

  1. JamiiForums Tanzania Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayoendelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani

    BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI. Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani. mungu anakuonesha ulivyo ishi kumbukumbu ikiisha inaonekana...
  2. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wanachuo wote.

    Mashindano ya 8 ya uwandishi wa essay kwa wanafunzi waliopo vyuo mbali mbali Tanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea. Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati...
  4. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wapimwa corona huko Sudan na majibu yanaonyesha hawana

    Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19. Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam. Majibu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watekaji Nigeria wamewaachia haraka wanafunzi kwasababu wote ni wa Dini yao

    Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu. Pia miezi michache iliyopita hawa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ya leo na ukubwa wake wote ilitakiwa ionyeshe chumba cha mfano cha wachezaji wake au jengo zima lililokamilika tayari?

    Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi kweli kwa Ukubwa na Ukongwe wa Klabu ya Yanga leo hii ilikuwa ni ya Kuita Waandishi wa Habari na...
  7. JamiiForums Tanzania Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

    Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?. Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana...
  8. JamiiForums Tanzania Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

    SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja Umenunua zako K Vant unapiga...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Wakuu naomba nifikishe kilio cha rafiki yangu mmoja mwenye tatizo la kupata kizunguzungu kila alalapo, hasa anapolala chali kitandani. Huyu jamaa ana umri kati ya miaka 30 - 35, hana historia ya kuvuta sigara, hatumii pombe wala hatumii madawa makali ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote kufikishwa bungeni hivi karibuni!

    Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni. Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba. Source TBC Maendeleo hayana vyama...
  12. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kutunza afya yako muda wote, haijalishi una umri gani

    Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha. Miaka mitano iliyopita mzee alifariki. Mama ameachwa akiwa na miaka 60+ lakini ni mama wa kileo sana na...
  13. JamiiForums Tanzania MOROGORO kuna nini, mbona Wahindi karibu wote wamefunga maduka kwa wiki mbili sasa?

    Kuna nini Morogoro? Mbona maduka ya Wahindi karibu yote yamefungwa? Tatizo nini? wiki ya pili sasa maduka mengi ya Wahindi yamefungwa, kuna nini Morogoro? Je, ni TRA au tatizo ni nini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ulie ulie kuibiwa wakati wote sisi ni wezi

    Inakuwaje wanajamvi! Sisi wote watanzania ni wezi katika nafasi zetu husika. Ukiibiwa potezea. Unaenda kujaza mafuta Sheli ukiibiwa unakimbia humu kuanzisha uzi ukilia lia wakati huko ofisini unapiga panga, ama una duka unaibia chenji wateja ama unakwepa kodi halafu ukilizwa unabaki kulia lia...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

    Siasa za Kenya ni kama unaangalia series ya Game of Thrones in real life, zinasisimua na zipo very unpredictable Huyu jamaa Uhuru Kenyatta nilikuwa naumuona kama yupo civil, level headed, japo sikutegemea atakuwa perfect, kumbe huyu jamaa nae hana tofauti na wnasiasa wanafiki, madikteta na...
  16. JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

    Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu. Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
  17. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

    Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha...
  18. JamiiForums Tanzania Wana 'Kahama' wote mnipokee tafadhali kwani nakuja 'Kuhiji' huko kwa 'Waganga' wenu wazuri kwakuwa kuna 'Mbabe' nimemkosea nataka anisamehe

    Ni 'Mbabe' ambaye Kiukweli alinipa Jukumu la Kutunza Nyumba yake nzuri ila Mimi kwa tamaa zangu ( japo ni Mchapakazi mzuri tu ) nikawa nachukua Magari yake ya 'Kifahari' na Kutamba nayo Mitaani nikijifanya yangu na Wambea wakamfikishia taarifa. Kuna Mtu kaniambia niende 'Kuhiji' Mji wa Kahama...
  19. JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

    Tanzania president raises doubts over COVID vaccines President John Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are ‘dangerous’. --- Tanzanian President John Magufuli has claimed that vaccinations against COVID-19 are dangerous and instead urged Tanzanians to protect...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, msamaha wa Rais Magufuli kwa DED wa Kahama umewaponya Wakurugenzi wote walionunua magari ya Tsh 460 milioni?

    Rais Magufuli amesema haya ''Mkurugenzi wa Kahama Mji unafanya kazi kubwa sana, ka kosa kale kadogo kamesamehe dhambi zako zote. Unafanya kazi sana najua unapigwa vita ila wanaokupiga vita kuanzia sasa wakuogope. Nimemsamehe Mkurugenzi huyu, amefanya makubwa! Mkurugenzi hongera Sana. Na hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…