maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuumbia nyie viumbe maana sometimes huwa nashindwa kuimagine maisha yangekuaje bila nyie
To be honest wadada wenye lips nene mna nafasi kubwa sana moyoni mwangu.
Nisiongee sana nisije nikakufuru naomba tu niwatakie usiku mwema wenye baraka tele
Mungu wangu aendelelee kuwalinda kwa bidiii zote na kuwapa nguvu wadada wote wenye lips nene
Nimalize kwa kusema nawapenda sana nyie ndio ugonjwa wangu