Uchaguzi 2020 Profesa Lipumba akiwa Buchosa: Nichagueni Urais ili nitokomeze njaa na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
lipumba.jpg

Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza
 
Huyu anafuata sheria achana na yule msaliti wa Nchi
Yule ndio bwana wenu mliona ujanja kuwanunua wagombea sasa unaona mtiti mtiti sasa uma ndio UNAUNGA MKONO JUHUDI kaeni mshikiwe akili na Polepole
 
Niposafarini naelekea Mwanza nasikia kesho terehe 5 Otober 2020 atakuwa viwanja vya Ngokoz/Dampo Mwanza.
nikipata nafasi ntaenda kusikiliza madini ya Lipumba mtaalam wa kunadi sera zinazotekelezwa na serikali adhimi ya CCM chama changu.
 
Huyu tangu atumiwe na CCM na kukabidhiwa ofisi na hatimye kuhamishia ofisini kitanda, vyeti na mabegi kisa tu anamuogopa maalimu Seifu. Sina Imani naye tena.
 
Back
Top Bottom