je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,569
15,306
Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe)


Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba wote wamechangia.
Misaada na Mikopo ya nchi nzima ikapelekwa nusu ya wahusika.


Je NEC hawaoni ni wakati sasa kuwasaidia wagombea kuangalia kwa mapana kauli za wagombea?

Akitokea mtu akawashawishi hao nusu kudai jasho lao ambalo mgawaji amelielekeza kwa nusu ya wahusika unaweza kuzua machafuko nchini?


Napendekeza NEC itume barua kwa Bodaboda au Kwa mguu ila mgombea wa CCM apewe semina ili tumchague vizuri kwa bashasha lakni hata wenyr maoni tofauti na yeye nao wafaidi Keki kwenye enzi Yake.

Uzi huu uhalali wake ni ikiwa hizo kauli zipo na kweli kama sio ufutwe tukutane 28/10
 
..omba uwe ktk nusu iliyochagua upande wa ccm.

..nusu ya nchi ambayo itakuwa imechagua wapinzani itakosa miradi ya maendeleo.
 
Fizikia shule ya msingi?umerogwa wewe sio bure
Utakuwa umeanza kusoma enzi za comrade Mungai sio bure.
Sayansi niliyosoma Shule ya msingi hadi kesho incontents za physics
 
Back
Top Bottom