nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa.
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule.
Azam Tv wamewekeza...
Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa.
Wazee ndio wanawafahamu vijana wao bila kujali chama gani ndio wawaidhinishe kugombea majimboni kutoa ujinga...
Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli .
Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa maji ni 36.64% tu. Hivyo hata maji yakipungua kwa 50% nzima umeme kwa ujumla wake unatakiwa kupungua...
Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo.
Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.
Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote...
Makolo mulibwanji?😄😄
NAWEKA REKODI SAWA
JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID?
Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah!
Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa wenyewe bila vurugu zozote.
Mama Samia amewezaje ilihali watangulizi wake wote walishindwa na...
Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo:
1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati.
"Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
Naona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi
1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia...
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.
1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka...
Hivi karibuni niliandika uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/threads/bodi-ya-mikopo-elimu-ya-juu-heslb-wanatokaje-awamu-hii.1922083/
Hata hivyo Badru bado anajisifia kuwa walioangaliwa Zaidi kwenye mikopo ni wale watoto wenye uhitaji zaidi wanaotoka familia duni.
Ukweli hajui watoto wa wale...
Kwema Wakubwa!
Kwa tathmini zangu ninazoziamini kuliko kitu chochote kile. Nachelea kusema, nchi hii hata watu wote yaani wote milioni 60 tuwe na Degree moja moja na zaidi kamwe haiwezi kuendelea.
Kwa bahati nzuri Mimi ninayo hiyo degree hivyo ninachokiongea nakielewa vizuri Sana. Kama...
Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana.
Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
Ukiijua kweli itakuweka huru. Nduguzangu hii ni ngumu kumeza ila ipo katika politiko sayansi nimeona si vyema kuficha ngoja tuelimishane japo kidogo. Nikisema sayansi ninamaana ni uchunguzi wa kimaabara kupata ukweli, iko hivi Mbowe alijenga nguvu ya umma bila huo umma kuupa hiyo nguvu. Nini...
WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA.
NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON)
Producer DONCHA nilimfahamu kupitia Gabriel Samalu(Mlapa) wa Global Publisher mwaka 2014 nanikafanya Albam yangu...
Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo.
Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na wakati wote utapenda kuzisikiliza, kwa manufaa ya nchi yetu ya kipindi hiki na kijacho.
Hotuba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.