wote

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanaume marijali wote wapo jela kwa kesi za ubakaji

    Hili ni tusi la kiutu uzima. Ingawa dada huyu alikuwa anaongea kama utani lakini she was making alot of sense. Ni hivi tulikuwa kwenye kikao cha harusi bar. Akapita jamaa AKASEMA anauza Dawa ya nguvu za kiume... Licha ya kujibiwa kwamba we are not interested but akawa anaendelea kujinadi...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

    Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana. Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya? Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
  9. Poker

    JamiiForums Tanzania Petroleum engineers wote niwashauri mjiunge SPE

    Wale petroleum engineers niwashaurini mjiunge na SPE ambayo ndiyo society itayoleta manufaa zaidi kwako na kwa career yako uwe umeajiriwa au bado! Kuna dili kibao ziko njiani 2023 zinakuja TZ kwaajili ya mafuta na gesi jiungeni sasa
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali za nchi hii kwa maendeleo ya watu wote

    Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha. Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri limepangwa na Kikwete! Tunashukuru kuwaondoa wote waliowekwa na Marehemu

    Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Prof.ndalichako amrisha watoto wote waliotimiza miaka 7 waingie shule walizo jirani nao.

    Matakwa ya rushwa ndogondogo za kipuuzi yametapakaa katika shule nyingi nchini kama njia ya kujipatia chochote Kwa wahusika, N.b,matatizo yao au mapungufu madogo madogo yatatatuliwa polepole baadae!
  15. vnn

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  16. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu! Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
  17. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe si muumini wa kudai katiba mpya, ACT wote mnaona sawa?

    Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa vya upinzani vinataka mchakato wa katiba mpya lakini Zitto Kabwe anaamini tume huru ya uchaguzi ndio...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, mkopo wa tril 1.3 wote umetumika kujengea madarasa? Vipi kuhusu madarasa yaliyokuwa yanajengwa kwa tozo za miamala? Ukaguzi ufanyike tupate ukwel

    Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba. Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

    Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu. Hofu inapungua taratibu kwa sababu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Wanafunzi wote 907,802 waliofaulu, Watajiunga kidato cha kwanza

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la Madarasa. Amesema Serikali imewezesha ujenzi wa Madarasa mapya elfu 15 Nchi nzima kwa mkupuo huku...
Back
Top Bottom