Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana.

Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa Mchezo.

Mchezo Utaanza Saa 10 jioni Kwa Saa Za Afrika Mashariki na Saa 9 alasiri kwa saa Za Botswana.

Baada Ya Miamba Kadhaa Kuanguza Jana Kwenye Champions League Leo Ni zamu ya Simba.

Je Simba Atafuzu Kuelekea Hatua Ya Makundi?

Tuwe hapa Kwa Dakika 90
========

Simba inaaga Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupokea kichapo cha mabao 1-3 kutoka kwa Jwaneng Galaxy ya Botswana na kufanya jumla ya mabao 3-3 huku Jwaneng Galaxy wakiwa na faida ya goli la ugenini. Simba itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.
 
Kama kawaida yetu, plan Simba ni kuwinda nyati ila ikitokea kikangaroo kimejipitisha njiani hatuwezi kukiacha, tunakitafuna hicho kwanza ili tupate stata ya kuwinda nyati
 
Simba Nguvu moja.
Simba Baba wa Mpira wa Miguu Tanzania tengeneza Mbeleko ya watoto akina Uttoo
 
248193007_2071552286337109_7902036737215584958_n.jpg
 
Back
Top Bottom