Kero yangu: Kuulizwa kama nalipa bili ya watu wote

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,185
103,695
Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.

Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!

Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.

Ni hayo tu
 
Unalipa Kwa njia gani mpaka idhaniwe unalipia wote?
 
aisee na mimi huwa inanikera Sana hii tabia
 
Hii ni tabia ya kishenzi sana.....unaweza ukawa umekaa na washkaji lakini haukupanga kuwalipia....ukajikuta unaitikia akate yote
 
No babe,jamaa yupo sahihi, huwezi kulipia watu kila siku haya maisha tunaishi kwa budget
na mimi ningekuwa hivi usingepata viji dhawadi😘
Sema hao marafiki ambao ukifika muda wa kulipa bills wanajifanya busy na simu sio marafiki wazuri, ni wa kuwakataa kabisa.

Halaf kwa mwanaume kwenda sehemu ukisubiri kulipiwa bills na mwanaume mwenzako daah inaleta ukakasi kidogo
 
Itakugharimu kiasi gani kwani kusema unajilipia mwenyewe? Itakuwa umejiwekea mazingira ya kuwa kibopa kiasi kwamba kukataa unaona kama itakuharibia muonekano wako.
Kama hutaki kulipi wengine unakuwa kauzu tu kwa kusema unajilipia wewe labda iwe unalipiwa sana kiasi cha kuona aibu kukataa.
 
Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri.

Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt
Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote. Kata ya aliyekupa hela,kama anahitaji ukate ya watu wote subiri aseme yeye. Sio kumungoza!!

Hii ni kero kwangu kwa sababu kuna watu wanapenda sana mteremko,mkienda kula anategea kulipa. Akimaliza kula anashika simu anazugaaa akisubiri uulizwe. Ukiukizwa kuna ile aibu,unajikuta unalipa tu zote.

Ni hayo tu

Acha kutembea na kundi la watu kama kumbikumbi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom