Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
748
771
Salam wakuu, hivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajali alipokua akijiandaa na mitihani ya kidato cha nne, nani anajua matokeo yake alifaulu?

====
ALIYEFIWA NA WAZAZI, NDUGU WATATU, APATA DIVISION 1.

Mwanafunzi Anna Zambi aliyefiwa na wazazi wake na wadogo zake watatu siku chache kabla ya mtihani wa kidato cha nne amefaulu kwa kupata 'Division 1' .
.
Mwanafunzi Mwanafunzi huyo aliyemaliza shule ya Sekondari Mother Theresia Of Calcuta, Kilimanjaro aliwaliza wananchi baada ya kupata taarifa ya vifo vya wazazi na ndugu zake, Novemba 16 mwaka jana baada ya kumaliza mitihani

View attachment 1318216
View attachment 1318217


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam wakuu,ivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajari.alipokua akijiandaa na mitiani ya kidato cha nne,nan anajua matokeo yake alifaulu? Mana wengine wanasema ana division 6

Sent using Jamii Forums mobile app
Division 6 yake inakukanda ?,umeona utakie apate div 6 ? div 6 ndio nini kwako ? akipata div 6 utafrahi ?....ulipata div 6 wewe o -level ? kasumba yako kwa mtto wa mwenzio ni nn ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom