Nashindwa wanashindwaje kuukontrol huo moto, kuna kitu wanaopanda miti kinaitwa fireline, hata uwe na shamba la eakri 300, lazima uligawe vipande ili ikotokea moto ukitoka kiapande kimoja usifike kipande cha pili. Sasa wanajua moto unapotoka na unapoelekea , hapo ni kuchukua magreda yote australia nikutengeneza firaline ya ukubwa hata mita 20.
kizaizai, Mkuu hiyo njia yako haiwezi kufua dafu kwa sababu ule moto unasambaa kwa kasi sana kwa sababu ya upepo mkali na joto kali.
Halafu kunakua na zaidi ya moto 200 inaunguza sehemu mbali mbali.
kama sasa hivi hali ya hewa imekuwa nzuri kidogo kwahiyo inakuwa rahisi kwao kuudhibiti.
Akili za watu kama ww ni hasara kabisa ni bora kukuweka kwenye kundi la nguruwe ili ufugwe...
Inafikia binadamu unataman uwe mnyama lakn unashindwa kufikiria kuwa hapo walipofikia wenzako walipambana kwa kila hali lakn ww unataka kila kitu kiwe bwelele. Ndio maana vijana Wa kiume mnaamua kuolewa yote haya ni kutoumiza akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.