Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 455
fid q joh makini pr. Jay j moe mansuli lord eyes nikki mbishi mwana fa sugu Nash mc chindo man |
fid q joh makini pr. Jay j moe mansuli lord eyes nikki mbishi mwana fa sugu Nash mc chindo man |
ingekuwa top 15 angehusikaLabda Chidi Benz ni muimba taarabu
yap, chindo ni real hip hop kuliko chidYani kamuweka chindo ka msahau chidbenz!!?
nitaandaa nyingine top 20 nitawaweka hao mkuuChid unamwacha vipi kwenye hiyo list. Pia kuna mkali wa freestyle Ngwair (RIP)na mtu mzima Geez Mabovu (RIP)
Wewe unamjua vizuri mansuliToa Joh Makini na Mansulii weka D. Knob na P The Mc
nitajie ngoma tano za hip hop za chidi
real hip hop man sema kuna watu wanamfanya aonekane wa kawaida
Uzembe kwenye kazi hua siruhusu, Kama wako makini kwanini wapate nusunusu/Toa Joh Makini na Mansulii weka D. Knob na P The Mc
roho saba ananyimbo mbili tuh na alishaachaga mziki na sioni sababu ya kumuweka kwny top ten ila kama bonta yuko na uwezo ila sijaona wa kumtoa hapoKuna Jamaa mmoja anaitwa roho 7,
Bila kumsahau BONTA