wifi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

    Mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Mrita ameeleza sababu na namna alivyohusika na mauaji ya wifi yake, Aneth Msuya. Miriam ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji hayo ya wifi yake huyo Aneth aliyeuawa Mei 25, 2016 kwa...
  2. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa gharama nafuu Dodoma

    Wakuu naombeni kujuzwa Dodom ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa garama nafuu. Mana kuna kampuni wamenifungia naona hasara tu wameniuzia Mbps 2 ila naona hata hata Kbps 500 haifiki si utapeli huu waungwana.
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Dada mtu anamtafutia wifi yake bwana

    Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza kuelezea maisha yake ya ndoa na mumewe ambaye wameoana muda tu na wajaaliwa kupata watoto wa 3 ila...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

    Lema kupitia space anasema "Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye Internet za Bure ( free wifi hotspots locations)

    Wadau, Kutokana na hali halisi ya vifurushi kwa sasa kuwa haieleweki , naomba tufahamishane kwa wale wanaojua njia mbalimbali mbadala za kuendelea kuwa mtandaoni bila gharama , kwa mfano wifi hotspots ambazo mtu anaweza kwenda kukaa na kutumia internet bure , hii inaweza ikawa katika public...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bustani zote kuwekwa Wi-Fi ili vijana wetu watumie kwenye shughuli zao za kielimu na ajira pia

    Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao.... Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nahitaji WIFI Card ya MacBook haraka

    Wakuu, habari zenu? Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake. Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania WiFi ya Umma: Jinsi wadukuzi wanaweza kuitumia kuiba data zako

    Upo kwenye simu janja yako muda wote? Muda wote imeunganishwa kwenye mtandao unavyosogoa na marafiki kupitia Whatsapp, Instagram na mitandao mingine ya kijamii? Upo kwenye hatari ya wizi wa mtandaoni Kadri mjadala kuhusu wizi unaowezeshwa na komputa unaendelea kushika hatamu kwenye mitandao ya...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania How to review the Wifi password connected on Windows

    When you have connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Here's how to review it There are many cases when you are connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Not...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania How to see the wifi password is connected on the computer and phone

    Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS. When you ask for the Wifi password and connect successfully, the computer will automatically connect for the next time. On a beautiful day you want to see the password to...
  11. The Master pizo

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inasumbua Wifi

    Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo =Haiwashi WI-FI =Haiwashi BLUETOOTH =Haiwashi RADIO =GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo...
Back
Top Bottom