wifi

 1. M

  Maeneo yenye Internet za Bure ( free wifi hotspots locations)

  Wadau, Kutokana na hali halisi ya vifurushi kwa sasa kuwa haieleweki , naomba tufahamishane kwa wale wanaojua njia mbalimbali mbadala za kuendelea kuwa mtandaoni bila gharama , kwa mfano wifi hotspots ambazo mtu anaweza kwenda kukaa na kutumia internet bure , hii inaweza ikawa katika public...
 2. MK254

  Bustani zote kuwekwa Wi-Fi ili vijana wetu watumie kwenye shughuli zao za kielimu na ajira pia

  Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao.... Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na...
 3. SAYVILLE

  Nahitaji WIFI Card ya MacBook haraka

  Wakuu, habari zenu? Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake. Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
 4. Replica

  WiFi ya Umma: Jinsi wadukuzi wanaweza kuitumia kuiba data zako

  Upo kwenye simu janja yako muda wote? Muda wote imeunganishwa kwenye mtandao unavyosogoa na marafiki kupitia Whatsapp, Instagram na mitandao mingine ya kijamii? Upo kwenye hatari ya wizi wa mtandaoni Kadri mjadala kuhusu wizi unaowezeshwa na komputa unaendelea kushika hatamu kwenye mitandao ya...
 5. MziziMkavu

  How to review the Wifi password connected on Windows

  When you have connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Here's how to review it There are many cases when you are connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Not...
 6. MziziMkavu

  How to see the wifi password is connected on the computer and phone

  Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS. When you ask for the Wifi password and connect successfully, the computer will automatically connect for the next time. On a beautiful day you want to see the password to...
 7. The Master pizo

  Simu yangu inasumbua Wifi

  Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo =Haiwashi WI-FI =Haiwashi BLUETOOTH =Haiwashi RADIO =GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo...
Top Bottom