Maeneo yenye Internet za Bure ( free wifi hotspots locations)

mzeemzima

Senior Member
Apr 14, 2010
107
225
Wadau,

Kutokana na hali halisi ya vifurushi kwa sasa kuwa haieleweki , naomba tufahamishane kwa wale wanaojua njia mbalimbali mbadala za kuendelea kuwa mtandaoni bila gharama , kwa mfano wifi hotspots ambazo mtu anaweza kwenda kukaa na kutumia internet bure , hii inaweza ikawa katika public space , au kwenye ofisi au jengo maalum kama vile co working spaces kama pale buni hub , costech kijitonyama.

Nimetolea mfano wa wifi hotspots , lakini kuwa huru kushare njia yoyote nyingine inayoweza kufaa.

Natanguliza shukrani
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
1,301
2,000

Udsm ( coet, ucc, udbs na yombo mpya)
Mlimani city kwenye ukumbi mkubwa hapo nje
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,326
2,000
Nenda Lugalo pale wana hadi Millitary bundle. Hiyo ni zaidi ya ile bando ya chuo.
 
Mhakiki

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,017
2,000
Mkuu si washaanza kurekebisha mambo specifically Halotel??

Punguza ubahili mkuu
Mkuu halotel ipi? Kwangu wamebana zaidi kwa elfu 10 nilikuwa napata gb 6,dk 800 za halotel mitandao yote 80 Sasa napata gb 4.5,500 za halotel na 10 za mitandao mingine
 
Mr Gerome

JF-Expert Member
Dec 6, 2019
225
250
Mkuu.hata Kama ukifanikiwa kuipata hiyo sehemu bado hiyo wi-Fi itakuwa protected,Sasa hapo utatumia vipi,,!?😜😜, Labla Kama unafaamiana na watoa huduma wakupe password,😀😀.!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom