Simu yangu inasumbua Wifi

The Master pizo

Senior Member
Dec 18, 2019
130
225
Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili
Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo
=Haiwashi WI-FI
=Haiwashi BLUETOOTH
=Haiwashi RADIO
=GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo

Nimejaribu kui restore sana bila mafanikio
Nimeiflash bila mafanikio

Naomba mnisaidie na nyie wakuu maana napata shida sana
 
mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
5,631
2,000
Tecno ni simu za matajiri, you buy it today after 2 months malfunction starts, you dump it you buy another mzunguko unaendelea
 
Ramlis

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
491
500
Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili
Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo
=Haiwashi WI-FI
=Haiwashi BLUETOOTH
=Haiwashi RADIO
=GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo

Nimejaribu kui restore sana bila mafanikio
Nimeiflash bila mafanikio

Naomba mnisaidie na nyie wakuu maana napata shida sana
Kuna ic inayohusika na hayo uliyoyataja inabidi ibadilishwe, baada ya hapo itakaa sawa. Kuna fundi yupo maeneo ya ubungo nina uhakika anaweza akakusaidia. Kama unampango wa kuitengeneza niambie nimuulize ili nikupe mawasiliano yake.
 
The Master pizo

Senior Member
Dec 18, 2019
130
225
Kuna ic inayohusika na hayo uliyoyataja inabidi ibadilishwe, baada ya hapo itakaa sawa. Kuna fundi yupo maeneo ya ubungo nina uhakika anaweza akakusaidia. Kama unampango wa kuitengeneza niambie nimuulize ili nikupe mawasiliano yake.
Dah Niko Bagamoyo Ila sio mbaya Nipe contact mzee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom