Ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa gharama nafuu Dodoma

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,351
1,282
Wakuu naombeni kujuzwa Dodom ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa garama nafuu. Mana kuna kampuni wamenifungia naona hasara tu wameniuzia Mbps 2 ila naona hata hata Kbps 500 haifiki si utapeli huu waungwana.
 
Back
Top Bottom