wifi

  1. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Habari wanajanvi Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema. Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo. Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au...
  2. Shobi

    JamiiForums Tanzania Nauza Universal wifi router zinafanya kazi na laini ya mtandao wote Ule

    Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount. Tupo Dar, Arusha na Nairobi
  3. U

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye Pub yangu inaitwa Runway Pub yangu iliyopo Kinyerezi Mahakamani

    Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050
  4. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Je, ni jinsi gani naweza kuaccess internet bila kununua vocha au kutumia wifi?

    Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia Vocha au wi fi.
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kuepuka kulipuliwa kwa kutumia simu yako, tumia WiFi na BLUETOOTH

    Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jipatie Universal 4G LTE MiFi router

    Heshima yenu wana Jamvi. Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote. Router hii ina sifa zifuatazo Inaingiza line zote Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo ulipo Speed mpaka 150Mbps Betri yenye uwezo 30000mAh, betri masaa mpaka 10 Inaweza kuunganisha...
  7. Engager

    JamiiForums Tanzania Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi. Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani...
  8. toriyama

    JamiiForums Tanzania Wanachuo MUHAS wanazimiwa AC na WiFi Ila wakiwemo wasudan zinawashwa

    Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu.. Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye WiFi huwa yanawashwa AC tu ikiwa hawa wanafunzi wageni wa SUDAN wakiwa wanafundishwa .. (ikumbukwe...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Jinsi alivyojibu tuhuma za kumuua wifi yake

    Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli. Miriam alitoa...
  10. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Pocket WiFi/Mifi kutoka Airtel

    OFA OFA OFA!!!!!! Jipatie Pocket WiFi kutoka Airtel inayo unganisha vifaa zaidi ya 10 na kasi Hadi Mbps 30, pia utapokea offer ya GB 20 mwaka mzima Vifurushi: ⚡Elfu 10 Gb 10.5 ⚡Elfu 20 Gb 22 ⚡Elfu 30 GB 35 ⚡Elfu 50 GB 75 ⚡Elfu 75 GB 100 ⚡Laki 1 GB 200 📞Mawasiliano 0742772122 ⚖️Vigezo na...
  11. Django Doer

    JamiiForums Tanzania Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

    Za sahizi binadamu wenzangu. Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB. Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za...
  12. MOONFISH

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Forsale: 4G pocket wifi 30k

    Habari wakuu za kwenu? Hope mko poa. Niko na 4G POCKET WIFI nili nunua airtell kwa thamani ya shilingi 50k Ina offer ya 5GB kila mwezi pale unapo weka kifurushi cha mwezi mfano ukinunua GB 4.5 unapata GB 5 bure inakuwa 9GB jumla. Haina hata mwezi na nina uza kwa bei ya 30,000 elfu Eneo ni...
  13. Vsanene

    JamiiForums Tanzania Internet MiFi za airtel

    Habari wadau, Karibu ujipatie internet mifi za airtel kwa shillingi elfu 50 tuu. inaunganisha zaidi ya watu 10 kwa umbali wa mita 100, na vifurushi vyake ni vizuri na speed ya uhakika karibuni sana wateja. Unaeza nichek kwa number 0654043435 kwa maelezo zaidi.
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kaka umetukosea kumtesa wifi, mapenzi yake kwako yalionekana dhahiri, sidhani kama atakubali

    Rafiki yangu alimlaumu kaka yake, nami nikaumia kwa kuwa nilifahamu kisa cha ndoa ile. Nitaelelza machache nayofahamu ambayo yaliniumiza. Sitaelelzea ndoa yao kiundani ndugu wa rafiki yangu hawa ambao kwa makadirio walifunga ndoa mwaka 2016 na kubarikiwa mtoto 1 huku binti akiwa alikuwa na...
  15. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDART wameanza wizi

    Siku za hivi karibuni hawa watu wa mabasi yaendayo Kasi(UDART) Wameanza wizi wa wazi wazi. Ukienda kukatq ticket halafu ukatoa hela kubwa zaidi ya gharama ya ticket yako wanakuambia uwaongezee 150 au 200 ndipo upewe change yako. Kama huna itabidi wakusubirishe. Na kama una haraka zako utachukua...
  16. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada, WIFI adapter ipi iko vizuri kwenye computer?

    Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
  17. Katavi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop ikiunganishwa na Ethernet, Mobile Hotspots haifanyi kazi na WiFi inazima.

    Habari wakuu. Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini WiFi inazima, na inafanya kutokuwa na uwezo wa kuweza kushea internet. Naomba msaada wa kuweza...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kuongeza vituo 2000 zaidi vya WiFi ya bure nchini humo

    Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali kama vile usajili wa Vitambulisho vya Taifa Hadi sasa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania WIFI za bure maeneo ya umma (Public areas) zinavyohatarisha usalama wa data zako binafsi

    Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu. Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
  20. Wapigwe tuu

    JamiiForums Tanzania 4G Mifi/Wingle. For sale! WIFI.

    Locked to Airtel: 50,000 Universal (All Simcards) : 65,000 Brand New 10hrs Battery Life. Recharge bundles without removing simcard. Buy all 5 + 3Wingles for 180K Contact: 0693341234
Back
Top Bottom