whatsapp

  1. B

    JamiiForums Tanzania Alini block ila now naona kwenye whatsapp yake " Hi there am using WhatsApp " Hii ina maanisha nii wataalamu? Kwamba ame ni unblock? Au?

    Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp". But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
  2. Mfitinishaji

    JamiiForums Tanzania Hatimae WhatsApp kupatikana kwenye iPad

    Hongera kwa Watumiaji wa iPad! Kuanzia Leo tarehe 27/05/2025, WhatsApp Inapatikana Rasmi Kwenye iPad Yako! Kwa muda mrefu, ilikuwa ni ndoto tu. Watumiaji wa iPad wamekuwa wakitamani na kusubiri kwa hamu uwezekano wa kutumia WhatsApp moja kwa moja kwenye vifaa vyao vikubwa bila kutegemea simu au...
  3. tang'ana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeweka picha ya wife kama profile picture huko whatsapp, nimeoga mvua ya matusi kutoka kwa michepuko yangu

    Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu. Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama. Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha ya wife kama profile huko whatsapp.aisee nimeoga mvua ya matusi ya kila aina kutoka kwa baadhi ya...
  4. black-tz

    JamiiForums Tanzania Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama

    Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama nani anakuchukia kwenye group." Zile link nyingi huwa mtego – zinaitwa phishing links. Ni link zinazotengenezwa kuonekana kama halali, lakini...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike. Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa msg za Whatsapp za G55 Kwa mwenzao aliyeshtukia Mchezo

  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi Whatsapp, Facebook zilivyobadili approach

  8. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. 👇🏽 Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Whatsapp watakua na uwezo wa kuweka video ya zaidi ya sekunde 90 kwenye Status

    Hii ni habari njema kwa wale wapenzi wa mtandao wa Whatsapp, kampuni ya Meta inayomiliki mtandao wa Whatsapp imesema Muda sio mrefu itaweza kuachiwa Feature mpya ya watu kuweza kuweka video ndefu kwenye status. Feature hii imeshaanza kufanya kazi kwa baadhi ya watumiaji wa Whatsapp ambao...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Story na chatGPT la WhatsApp, ona lilivyonijibu..

    Hili roboti kuna muda linachekesha sana kwenye majibu yake!, binafsi nimelisave kama "Akili mnemba".
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  14. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
  15. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
  16. mrembomzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume kuanzia miaka 45

    UKIWA CHINI YA MIAKA 45 NI MARUFUKU KUNITAFUTA. Hello mimi niko single, nahitaji mume, Miaka 45-75.....awe anajiweza kutunza na kuhudumia mke, familia. Dini yoyote, niko tayari kuwa hata mke wa 2, 3, 4.
  17. Barakha John

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Imeiga tena kutoka Tiktok & Instagram : Hili Litakushangaza ….

    #mwanakidigitali hii utaipenda … WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌 Ona hatujasalimiana hata 😆 Mambo ni vipi #mwanakidigitali …. Najua swaumu itakuwa kali poleni kwa mfungo kwa wewe...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka Audio Status Whatsapp

    Msaada tafadhali mwenye kujua
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nimekuta namba yangu ya Tigo niliyotumia miezi mitatu iliyopita imebadilishwa usajili, whatsapp yangu imebadilishwa ?

    Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti. Hili jambo limenishangaza sana juu ya privacy ya namba zangu, kwa bahati nzuri haikuwa namba nayotumia sana...
  20. Scars

    JamiiForums Tanzania WhatsApp ipo down

Back
Top Bottom