Ni sahihi kushare CV kwa Whatsapp number?

Ni sahihi kushare CV kwa Whatsapp number?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,323
Reaction score
6,863
Habari,
Kuna baadhi ya matangazo ya KAZI huwa yanahitaji CV hasa kwa njia ya WhatsApp.

Je njia hii ni salama kwa ajili ya privacy nk?
Je ni hatari kiasi Gani?

Ahsante.
 
Kuna case ngapi za kuvujishiwa privacy zako kutoka kwenye CV yako, jibu n hakuna au n % chache mno.

Hii inamaanisha kwenye CV hakuna taarifa nyeti, kwanza ukiona kwenye CV mtu ameandika academic qualifications zenye ordinary & advanced level education ujue Huyo hana taarifa ya kuvujishwa.
 
Nilshatengenezaga tangazo la kazi.

Nilikua naajiri watu wa sales & call center. Walikuwa wanatakiwa watume cv via whatsapp.

Mara nyingi unakuta ni kampuni ndogo (wafanyakazi 5 - 11) na hawana official email.

Au kazi wanayoajiri wanajua watu watakao apply ni "low level" au "vibarua"

mishahara yake ni njaa kali. Kaa mbali.
 
Back
Top Bottom