Tech Discussion: Namna ya Kumuondoa Admin WhatsApp

Enzi za chuo huu ujinga nimeufanya sana, wa kupora grps !!!! Sa hv nimekuwa nipo mtaan napambana msg grp kwanza nime-mute, nafungua tu zile grp muhimu, na sms pengine sisomi zote, labda liwe active sana ili nifatilie kuna nini kipya !

Hii ni dalili ya majukumu, umri , vipaumbele n.k no free time ... oya tunazeeka
 
Ili nitoe maoni yangu naomba na admini naye atoe ya moyoni baada ya hapo ndio naweza kukupa njia konki ya kupora uadmini bila kutumia nguvu kumbwa kama ya jeshi la polisi
 
Salam.

Kuna jamaa ni mmoja kati ya maadmin wa4, sasa amewaondoa uadmin wenzake na kubaki yeye. Anafanya mambo ya hovyo.

Kuna njia gani ya kufanya ili Kumpoka U-Admin?

Note: Kutengeneza group lingine sio option.
Inawezekana kwa kutumia binary code japo sio rahisi maana lazima humtumie ujumbe admin aufungue kama link ndo utaweza kumuondoa ila Whatsapp inaweza kufuta akaunti yako uko ripotiwa
 
hii iliwahi kutokea miaka ya nyuma nikateka group,
ilikuwa hivi mimi wala sikuwa admin sema kuna docs zilikiwa zitumwe kwenye group ila zinagoma sababu kulikuwa kuna watu hawaja update Whatsapp zao. hii ni 2014

watu wanaambiwa wa update ila ila tu watu kadhaa bado hawaja update, nikajitolea ku remove watu wote ambao hawataki ku update Whatsapp zao ili docs zitumwe halafu ntawarudisha bas nikapewa u admin nikafanya ivo.

Zikapita siku kadhaa, nikatongoza demu kwenye inbox mambo hayakuenda sawa halafu yeye akaja kwenye group akatishia kutuma screenshot, nilochokifanya nika wavua uadimin maadmin wote halafu nikam remove huyo dem. halafu mimi ndo nikatishia kufuta group
 
Sexual based violence
 
Back
Top Bottom