G
guest-1786390423
Guest
Mwaka 2014 wakati bwana Zuckerbeg anainunua whatsapp kwa dola za kimarekani 19 B watu waliona kama ni uharibifu wa pesa. Haikuwa clear ni kwa namna gani hii app ya kuchat itaweza kuingiza pesa. Fast forward 12 years later, sasa iko wazi jamaa anataka kurudisha pesa zake.
WhatsApp imeanza kuonyesha matangazo in between stories na pia kwenye channels. Kama hiyo haitoshi wanakuja na subscriptions za kila mwezi ambapo mtu akilipia anapata extra features ambazo hazipo kwenye free plan.
Hii inakuja wakati ambapo WhatsApp imeshaachieve network effect. Kwa maana kwamba almost kila mtu anayo. Sa hivi watu wakibadilishana namba wanahitaji zile ambazo ziko WhatsApp. So baada ya kuhakikisha kwamba watu wamekuwa trapped in sasa ni muda wa kuanza kurudisha Pesa zilizotumika.
Wanahakikisha unatumia muda mwingi zaidi kwenye app ili wakuonyeshe matangazo mengi zaidi. Binafsi niliikubali sana WhatsApp ya 2016 kurudi nyuma. Hakukuwa na status wala channels. Hata groups zilikuwa na watu 256 maximum. WhatsApp ilikuwa a very private messenger. Unachat na family na watu ambao mnafahamiana. Lakini leo huwezi kusema hivyo. Utofauti wake na traditional social media kama instagram na TikTok unazidi kupungua. Ajabu ni kuwa ofisi nyingi zinatumia WhatsApp kama official form of communication ilihali ni social media platform.