de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,180
- 22,172
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Ni takribani week 1 sasa.
Nimekuwa nikipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned
Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari Nimeisha install official app ila bado inaniambia ni download official app.
Hii ni kwa sababu account yangu iko banned, Je kuna hack yoyote ya kuweza kufuta hiyo ban? Nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia ni download official app ila sioni matokeo.
Masada ndugu zangu maana account hii ndo inanisaidia kwenye mishe zangu.