wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Sabaya wenzake yakwama Mahakamani

    Mahakama ya Rufaa Tanzania imeahirisha kusoma hukumu ya rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili baada ya wajibu rufaa wenzake wawili kushindwa kufika mahakamani. Katika rufaa hiyo Jamhuri inapinga...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mmoja afariki katika ajali ilitowatokea Chino na wenzake

    Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Novemba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta. Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

    Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF. Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako...
  4. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa na wenzake wanashindwa kuelewa IGA ya DPW haiwezi kuwepo bila mabadiliko ya sheria yetu ya Natural Wealth and Resources Permanent Sovereignty

    Mikataba ya hadhi ya IGA (Intergovernmental Agreement) au BIT (Bilateral International Treaties) au MIT (Multilateral international Treaties) ni lazima ziendane na sheria za nchi husika vinginevyo ni null and void de novo. Hivyo kwa kuwa mkataba kati ya Dubai Emirate na Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

    MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB. ====== Wasalaam Jf team, Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni " Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini Poland na wenzake walikataa wahamiaji kuingia kwao kiholela.

    Leo USA, UK, France, etc wanataabika kwa kuongezeka kwa matokeo ya ismamic extremism na jihadist movements ambayo yanafanywa na watu waliofungulia milango kwa ajili ya hifadhi na kutafuta maisha bora. US na wenzake hawatambui kuwa wanajijengea bomu ambalo litakuja kulipuka muda sio mrefu...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Msipindishe maneno, Makonda amemaanisha kuwa Mbowe na wenzake ni vibaraka wa CCM, huku sisi makamanda tukiumia

    Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana. Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM? Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM? Zitto Kabwe ni kada wa CCM. Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi. Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya DPP kupinga kuachiwa huru kwa Sabaya na wenzake kusikilizwa leo

    Rufaa ya DPP dhidi ya Ole Sabaya , ya kupinga kuachiwa huru inaanza kusikilizwa leo . Mitaani huwa tunasema hivi , " HAIJAISHA MPAKA IISHE " --- Mahakama ya Rufani leo Novemba mosi, 2023 imepanga kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu Dkt. Slaa na wenzake wasikamatwe

    Tunasikia mambo yanayotokea Mwanza. Hawa watu wanataka tu nafasi ya kutoa maoni yao. Kwa vile hawana nguvu,hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza. Polisi wanatumia ukali sana kwa vile wanafikiria askari lazima awe mkali. Lakini mimi namkumbuka Brigadier General Moses Nnauye alivyokuwa mpole sana...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

    Salaam Wakuu Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa. Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo. Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

    Habari za jumapili! Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo. "Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo. Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huenda kweli Ally Salim anawapiga ndumba wenzake

    Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba nako kunaonekana kuwa sio bure ila ni juhudi za dogo kuwapiga pini wenzake ili wasiwe kikazwo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania R.I.P Zacharia Hans Poppe: Historia fupi ya Jabari lilotaka Kumpindua Mwalimu Nyerere

    Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni - Kabla ya kuachishwa kazi na...
  18. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Leo tunatumaini Jaji atatoa uamuzi ambao utaondoa jakamoyo ya Mwabukusi na wenzake

    Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili suala la Bandari: wanasema nchi itaangamia, nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi. Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema. Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu...
Back
Top Bottom