wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu Dkt. Slaa na wenzake wasikamatwe

    Tunasikia mambo yanayotokea Mwanza. Hawa watu wanataka tu nafasi ya kutoa maoni yao. Kwa vile hawana nguvu,hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza. Polisi wanatumia ukali sana kwa vile wanafikiria askari lazima awe mkali. Lakini mimi namkumbuka Brigadier General Moses Nnauye alivyokuwa mpole sana...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

    Salaam Wakuu Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa. Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo. Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

    Habari za jumapili! Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo. "Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo. Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huenda kweli Ally Salim anawapiga ndumba wenzake

    Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba nako kunaonekana kuwa sio bure ila ni juhudi za dogo kuwapiga pini wenzake ili wasiwe kikazwo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania R.I.P Zacharia Hans Poppe: Historia fupi ya Jabari lilotaka Kumpindua Mwalimu Nyerere

    Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni - Kabla ya kuachishwa kazi na...
  10. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Leo tunatumaini Jaji atatoa uamuzi ambao utaondoa jakamoyo ya Mwabukusi na wenzake

    Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili suala la Bandari: wanasema nchi itaangamia, nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi. Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema. Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo: (2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa na wenzake huenda watazuiliwa makwao ili wasifanye mkutano

    Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI. Nukuu: "....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe...
  15. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Ili kuepusha foleni za ajabu ajabu, kwanini Rais Samia na wenzake wasiwe wanatumia Helikopta?

    Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam? Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana. Tumechoka aisee!
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama IGA inayozungumzwa ni hii basi Mwabukusi na wenzake watashindwa kesi na tutaona wameonewa

    Habari jf , Kwanza kabisa ifahamike IGA hii ni MKATABA sio makubaliano ya kawaida kama yanavyosemwa ,sababu ni makubaliano ya kimaandishi na yana ulinzi wa kisheria . Pili huu Mkataba Una Ukomo lakini huo ukomo unategemea HGA -ukisoma vizuri utagundua umefichwa kwenye HGA ,ambayo ndio mikataba...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

    Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge. Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima. Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala. More money poor performance.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mdee na Wabunge wenzake 18 kuchuana na CHADEMA leo tena Mahakamani

    Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo, kwani alikuwa kwenye semina ya majaji ndipo ikapangwa kuendelea leo. Wabunge hao akiwemo Halima Mdee...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

    Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hadi wanawake wenzake nao wamemdharau? Imenikwaza sana

    Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua. Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika kuwa amechoshwa na Harrier tako la Nyani. Hii gari nilimnunulia ni dualis ya mwaka 2010 achana na...
Back
Top Bottom