Rufaa ya Sabaya wenzake yakwama Mahakamani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
Mahakama ya Rufaa Tanzania imeahirisha kusoma hukumu ya rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili baada ya wajibu rufaa wenzake wawili kushindwa kufika mahakamani.

Katika rufaa hiyo Jamhuri inapinga hukumu ya Mei 8, 2022, iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, iliyomuachia huru Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura.

Leo Jumatano Novemba 15, 2023 mahakamani hapo mjibu rufaa mmoja (Sabaya) pekee ndiye aliyekuwepo mahakamani, huku wajibu rufaa wenzake wawili wakidaiwa kuwa nje ya Arusha na wako njiani kurudi hivyo mahakama kuamua kuahirisha hadi Novemba 17,2023.

Wakili Michael ameeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Rubiroga, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kutajwa.

Alidai kuwa kutokana na Hakimu anayesikiliza shauri hilo kuwa na majukumu mengine ya kikazi, anaomba mahakama ipange tarehe nyingine.

Kutokana na hali hiyo, wakili wa mshtakiwa Mwesigwa Muhingo alikubaliana na upande wa mashtaka, kesi hiyo iahirishwe ili tarehe ijayo iweze kupangiwa tena muda wa majadiliano.

Hakimu Ruboroga baada ya kusikiliza maelezo hayo, aliahirisha kesi hiyo hadi Novemba 27, 2023 itakapotajwa na mshtakiwa yupo rumande.

Kwa mara ya kwanza, mshtakiwa huyo alifikishwa katika mahakama hapo, Februari 16, 2023 na kusomewa kesi inayomkabili.

Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Januari 26, 2023 katika Mtaa wa Wailes uliopo wilayani Temeke.

Inadaiwa siku hiyo ya tukio, mshtakiwa huyo alikutwa akisafirisha kilo 23 za Mirungi, kinyume cha sheria.

MWANANCHI
 
Sabaya kateseka sana.....bado wanamyafuta?
 
Back
Top Bottom