wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Marafiki zangu walinitenga baada ya kupata pesa

    Kuna washkaji zangu wawili since 2018 nilikuwa napiga nao madeal 2022 wakapata deal 1 wakapiga wenyewe hawajanishirikisha wakanunua subaru 2 starehe kila siku Huwa sijawahi watafta tena wala kwenda kwao leo wananitafta wamekwama hawana pesa tena 😅😅 nashindwa niwajibu nini 🙌🏿🙌🏿
  2. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya Dhahabu-Dhahabu yao wenyewe

    Salaam Watanzania wenzangu. Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti. Tafakari: Kukopesha kunamaanisha kuwa kitu kilichokuwa, kinatarajiwa kulipwa pamoja na riba. Kwanini...
  3. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Wazazi msifiche watoto wenyewe ulemavu, usonji na down syndrome

    Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
  4. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda

    It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa. 2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
  5. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya DRC Congo yatamalizwa na wakongo wenyewe

    Nikiwa nasikiliza idhaa ya kiswahili ya dw Leo mchana moja ya wachambuzi wa maswala ya migogoro huko Congo alitoa ufafanuzi juu ya kikosi kingine Cha SADC Ambacho kinajiandaa kwa awamu nyingine kutumwa huko DRC. Kilichonishangaza ni pale alipoulkuliwa akisema wanajeshi wakongo wanataka vita na...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wanawake Usafi huko chini fanyeni lakini msizidi hadi mkaondoa ile harufu ya asili sababu ndio utamu wenyewe huo

    Hii kero nimekua natafuta njia ya kuifikisha kwa pisi husika lakini nashindwa naifikishaje. Unakuta pisi kali na safi lkn papuchi haina ile natural smell hata kidogo, msinielewe vibaya simaanishi 'kitilapia' hapa, namaanisha kale kaarufu fln ambako nadhan ndo wale bacteria wanakatengeneza...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Wanaohubiri Injili ya mafanikio wao wenyewe hawakutajirika kwa injili hiyo!

    Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hata Wapalestina wenyewe wameshinda kuelezea Historia yao halisi

    Kutoka Tovuti Rasmi ya Mamlaka ya Palestina, Nchi takatifu imeeanza kukaliwa tangu miaka 6000 iliyopita lakini cha ajabu wameshindwa kusema wao wanaundugu na watu gani wa enzi hizo https://travelpalestine.files.wordpress.com/2014/11/motaguide.pdf
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuleni vya kuchinja wenyewe katika Krimas na mwaka mpya

    Sherehe za krismasi na mwaka mpya ni ibada maalumu Kwa wakristo. Ibada itakuwa ya maana iwapo mtakula Vyakula vilivyoandaliwa Kwa maombi yenu bila kuchanganya maombi ya miungu wengine. Lakini Kwa upendo mkubwa Msisahau kununua nyama za mabuchani Kwa ajili ya wageni wasio wa Imani yenu...
  12. Ituzaingo Argentina

    JamiiForums Tanzania GAZA: Tukiendelea kuwatia adabu mpaka wataondoka wenyewe

    Wapiganaji wa Al-Qassam (H@M@S)wakilenga wanajeshi 10 wa Israel waliojificha nyuma ya kifaru. Source TRT Source Aljazeera Pamoja na kusaidiwa na Nchi za Magharibi kubomoa maghorofa, kupiga mahospitali, mashule, kuuwa wasio na hatia, waandishi wa habari (Journalists), walimu, watoto, wamama...
  13. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania CCM Ina Wenyewe!

    Mkiambiwa muwe mnaelewa! Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣 Hasa wewe johnthebaptist Wengine hawa hapa
  14. Doto12

    JamiiForums Tanzania Waafrika mnaibiana wenyewe. Huu ni ukweli. Wanasiasa wanafilisi nchi zao

    Siasa za weusi ni nyeusi tii Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani. Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala. Ni nani anasimama kumtetea maskini
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Hakuna chama chochote cha siasa Duniani kimeshinda uchaguzi kwa kuwa ni bingwa wa kukosoa

    "Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa. "Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nausuburia kwa hamu uzi mpya wa simba utoke ila kwa haya ma mo mo moooo yaliyojaa kwenye jezi mtavaa wenyewe

    Siwezi kuvaaa hii jezy aisee
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasio na choo bora kujengewa na Serikali kwa fedha zao wenyewe

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo kwa usimamizi mkali wa Serikali zao kwa kushirikiana...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea? Ihefu FC waliofungwa wamekubali ila wengine ndio wanaumia!

    Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga...
Back
Top Bottom