Wanawake ni kweli huwa hampendani wenyewe kwa wenyewe?

Burrell

JF-Expert Member
Feb 4, 2024
302
583
Katika kuelimishana, naomba kuuliza wadau hasa jinsi ya kike.

Je, kuna ukweli katika kauli ambayo imekuwepo kwa miaka mingi katika jamii zetu kwamba wanawake huwa hawapendani wao kwa wao?

Karibuni wadau tuelimishane, kama hili jambo ni la kweli, na ninini ni kisababishi chake, na pengine nini kinaweza kusaidia hii hali ikaondoka kama ipo kweli.
 
Inamaana yule dada Bungeni Mbunge viti maalum kusema kwamba Rais awekwe kwenye Sarafu ya Mama anakupiga Mwingi hicho ndio kiashilia kwamba hampendi Rais?
 
Ni kweli kabisa, kuna baadhi ya wanawake wanawaharibia mambo yao wanawake wenzao tena unakuta ni marafiki
hopejunior profile picture yako inaonesha wewe ni mwanamke. kwahiyo utakuwa unaufahamu kubwa juu ya hili jambo.

Inaonesha mwanamke anaweza kuwa na rafiki yake yaani shoga yake, lakini hasijue mwenzake sio mtu mwema sana kwake?
 
Inamaana yule dada Bungeni Mbunge viti maalum kusema kwamba Rais awekwe kwenye Sarafu ya Mama anakupiga Mwingi hicho ndio kiashilia kwamba hampendi Rais?
sio kiashiria, yule inaonesha anampenda ndio maana akatoa hoja ile.
 
Hapana wanawake si kuwa hawapendani hizo ni propaganda tu za wanaume, kwa sababu ukiangalia circumstances nyingi ambazo wanawake wanasemwa kuwa hawapendani, ni zile ambazo hata ingekuwa ni wanaume wangefanyiana kama au sawa na wanawake tu
 
Sawa Jadda, mfano ni circumstances zipi unaona?
 
Kuna siku demu alikataa kuosha sahani alilotumia demu wa chumba cha jirani maana huwa tunaweka vyombo vichafu sehem moja nje lakin vyombo vingine aliosha
 
Hii kali. Hivyo vingine vilikuwa ni vyombo wametumia wanaume?
 
Back
Top Bottom