Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya Dhahabu-Dhahabu yao wenyewe

Nkaburu

JF-Expert Member
Mar 23, 2023
660
784
Salaam Watanzania wenzangu.

Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti.

Tafakari: Kukopesha kunamaanisha kuwa kitu kilichokuwa, kinatarajiwa kulipwa pamoja na riba.

Kwanini Waghana wanapaswa kupata mkopo(loan) kwa Dhahabu yao wenyewe?

"Mtu anakuja kwako na kuiba, kisha anageuka na kusema, 'Unaweza kukopa" Udhalimu huu Uingereza wataacha lini?

Kwa taarifa zaidi bofya chini hapa

Asante Gold: UK to loan back Ghana's looted 'crown jewels'

Je, Unafikiri vito vya Dhahabu vinaweza kutumika vipi kukuza Utambulisho(National Identity), Urithi na Utalii wa Ghana?
_132417558_britishmuseum-3panel.jpg.webp
 
Salaam Watanzania wenzangu.

Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti.

Tafakari: Kukopesha kunamaanisha kuwa kitu kilichokuwa, kinatarajiwa kulipwa pamoja na riba.

Kwanini Waghana wanapaswa kupata mkopo(loan) kwa Dhahabu yao wenyewe?

"Mtu anakuja kwako na kuiba, kisha anageuka na kusema, 'Unaweza kukopa" Udhalimu huu Uingereza wataacha lini?

Kwa taarifa zaidi bofya chini hapa

Asante Gold: UK to loan back Ghana's looted 'crown jewels'

Uingereza hawana hata mgodi mmoja
 
Baadhi za picha za vito hivyo vinavyoenda kukopeshwa .
_132408567_v-a-3split-no2.jpg.webp
_132420163_4.ceremonialcapdenkyemkyetrusteesofthebritishmuseum.jpg.webp
 
Hamna cha ajabu hapo, Afrika ndivyo tulivyo. Angalia tu vijiji vinavyo zunguka migodi ktk nchi hii watu wake walivyo choka mbaya.

Charity begins at home 🏠🏡 hivyo tuanzie hapa Tanzania.
 
Mkuu Ahsante kwa ushauri huo.
Hamna cha ajabu hapo, Afrika ndivyo tulivyo. Angalia tu vijiji vinavyo zunguka migodi ktk nchi hii watu wake walivyo choka mbaya.
Patron, ww huoni hiyo ni ajabu? Mtu akuibie nyumbani mwako, halafu arudi aseme anakukopesha alichokuibia?

Hatahivyo ni Kweli, vijiji vingi vilivyopo maeneo ya Migod vinasikitisha. Na haiondoi ukweli wa Udhalimu wa Mwingereza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom