wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

    Ni wakamilifu? Sijasema hivyo. Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu! Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏 Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo...
  2. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

    Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

    Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi. Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya. Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
  4. Area 56

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni miongoni mwa walinzi wazuri duniani

    Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wazuri sana, warembo na wenye maumbo mapana ya kuvutia ni rahisi sana kuwapata unapowatongoza

    Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa. Hali haikuwa kama nilivyodhani, badala yake nilipigwa vibuti vikali sana. Kati ya wanawake 10...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wazuri wanatuingiza gharama kubwa na kitandani hawana miujiza. Watoto wa Uswazi ni watamu sana ila wachawi kama Mshana Jr

    Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara. Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Wahitimu Chuo cha Biblia cha Evengelism Church Muwe Mabalozi Wazuri wa Kusimamia Maadili

    Wahitimu wa Chuo cha Biblia cha Evengelism Church wameaswa kuwa askari wazuri wa vita dhidi ya mmomonyoko wa maadili ambao unaendelea kushamiri katika jamii zetu hususani kwa vijana. Wito huo umetolewa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe, Jenista Mhagama wakati wa...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Namshukuru Mungu kiukweli nimepata fursa ya kutembelea nchi kadhaa hapa Barani Africa ikiwemo Ethiopia, Rwanda, Kenya, Uganda, Southafrica, Morocco, Madagascar, Seychelles, Nigeria, Congo RDC, Zambia, Malawi, Mozambique, Burundi, Central Africa Republican...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbwa wazuri wa ulinzi: Cross ya German Sherpherd jike x Belgian Malinois

    WANAPATIKANA KIBAHA. KWA SASA WANA MIEZI 3
  12. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, mulika Mamlaka ya maji safi na maji taka Mbeya, wanabambikiza bili kwa wateja waaminifu

    Ingawa hili ni tatizo la kitaifa, lakini Idara ya maji mbeya ni tatizo kubwa. Wanatesa sana walipaji bili wazuri. Huwa wanapandisha bili taratibu hadi wanafikia sehemu ambayo wanaona wao ndio stable na ajabu wenye malalamimo matumizi ya nyumbani huwa ni yaleyale, lakini bill zinabadirika. Kila...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa mseme kabisa Al Merreikh ni wazuri au vibonde?

    Matokeo ndio kama mlivyoyaona na pira ndio kama mlivyoliona, sasa turudi kwenye mjadala wetu uleee! Yanga ameshinda 2-0 ugenini je amecheza na timu ya Al Maerreikh dhaifu au yeye Yanga ndio ana timu nzuri? Tujadiliane hapa hapa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  16. National Anthem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea. Unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu 😊😊 Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni 🌹🌹🌹🌹
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Case Study: Wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka

    wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa mbele na ukifatilia vizuri kundi hili ndio wamekariri sana msemo wa "Tafuta Hela" , kwao Pesa ndio...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

    Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje? Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga)...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushabiki pembeni: Mayele hastahili kucheza soka barani Afrika, atafute mawakala wazuri wa kumvusha

    Unazi pembeni!!! Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika. Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
Back
Top Bottom